Kumbe hata kwenye nchi zilizoendelea “single mothers” wako katika hali ngumu

Kumbe hata kwenye nchi zilizoendelea “single mothers” wako katika hali ngumu

Huwa nawatetea single mothers kama binadamu wengine ila ukitafakari ni wanawake wasiopaswa kuzingatiwa kwenye jamii ya watu wastaarabu. Wengi wao walizalishwa kwa kiherehere chao cha kukimbilia mapenzi kabla ya muda. Kibaya ni kwamba wakati wakiwa mapenzini kabla ya kuzalishwa huwa hawasikilizi mtu yeyote wakiwemo wazazi zaidi ya hao wanaume zao. Wakitelekezwa ndo hutia huruma nakuanza kujigongesha kwa wanaume waliowakataa mwanzoni kwa dharau. Kinachokera na kuumiza zaidi ni kuwa single mothers wote huendelea kuwa na mapenzi na wanaume waliowazalisha kwa maisha yao yote. Ikitokea mwanaume wake anataka kurudi basi atakuacha mchana kweupe bila kujali maumivu yako. Hata hawa single mothers waliofiwa na baba watoto zao ni wapumbavu kwasababu mapenzi yao huwa kwa marehemu zaidi na watoto wake. Utakubali kuoa mtu ambaye kila mwaka husherehekea birthday ya marehemu? SAY NO TO SINGLE MOTHERS.
 
Hapo ni changamoto sana mkuu angalau angekuwa yupo chini ya miaka 25 kwa hiyo age yupo hapo kwaajili ya ndoa na kulelewa mtoto wake hakuna mapenzi hapo mkuu ukimuoa tu rangi yake halisi utaiona.
 
Hapo ni changamoto sana mkuu angalau angekuwa yupo chini ya miaka 25 kwa hiyo age yupo hapo kwaajili ya ndoa na kulelewa mtoto wake hakuna mapenzi hapo mkuu ukimuoa tu rangi yake halisi utaiona.
Aksnt mkuu

Zaid anajua kila ktu ananitek kinyama
 
Aksnt mkuu

Zaid anajua kila ktu ananitek kinyama
Hiyo ndio gia yao wanakuzubaza ili uingie kwenye 18 zao unapewa mapenzi moto moto mpaka unaona huyu ni mke kumbe umeuziwa mchanga kwenye gunia
 
Back
Top Bottom