Kumbe hata kwenye nchi zilizoendelea “single mothers” wako katika hali ngumu

Inakuwa ngumu kukuamini Robert kwasababu nina uhakika hujaishi huko....

Mtandao ni njia ngumu ya kujua hali ya ukanda fulani

Wazungu wakija huku mara ya kwanza wanashangaa kukuta Maghorofa wanajua watakuta vumbi tu
 
Shida ya single maza ni ile ile hata awe Mzungu mweupe.

Ukiachana nawale waliozalishwa na wanaume vihiyo vikakimbia. Tabia za mtu kuwa single maza ni zile zile zinafanana.
1. Wanaanza starehe ktk umri mdogo hivyo hata wakiolewa hudhani maisha ni marahisi kama walivyozoea kulazwa na mabwana kwenye Five star Hotels.
2. Kujidai uzuri na kudhani kwa kuwa wanachombezwa sana hivyo wanaamini hawawezi kukosa wa kuwaoa.

3. Jeuri, kibri, ubinafsi.
4. Historia ya kuumizwa kihisia na kijinsia. Huwaweka mazingira magumu kumwamini Mwanaume yeyote.
4. Kufata mkumbo na kubeba kila wanachosikia bila kuchukua tahadhari.

5.Tamaa ya mali na kutaka wanaume wengi

Asilimia 90 ya single mothers wanasifa ulizotaja hapo

Hiyo 10 ni wajane + waliopata wanaume wahuni wakawadanganya
 
Shida ya single maza ni ile ile hata awe Mzungu mweupe.

Ukiachana nawale waliozalishwa na wanaume vihiyo vikakimbia. Tabia za mtu kuwa single maza ni zile zile zinafanana.
1. Wanaanza starehe ktk umri mdogo hivyo hata wakiolewa hudhani maisha ni marahisi kama walivyozoea kulazwa na mabwana kwenye Five star Hotels.
2. Kujidai uzuri na kudhani kwa kuwa wanachombezwa sana hivyo wanaamini hawawezi kukosa wa kuwaoa.

3. Jeuri, kibri, ubinafsi.
4. Historia ya kuumizwa kihisia na kijinsia. Huwaweka mazingira magumu kumwamini Mwanaume yeyote.
4. Kufata mkumbo na kubeba kila wanachosikia bila kuchukua tahadhari.

5.Tamaa ya mali na kutaka wanaume wengi
Hii Namba Tatu,ni kwa Asilimia kubwaa saaaaaana Ndugu..
 
Kumbe wanaandamwa pande zote za Dunia🤔
Nikajua huku kwetu tu
 
Back
Top Bottom