Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mkuu wakati unaanza umetusalim Kwa habari za usku,umemaliza unatuambia jion njema....twende na ipi hapo?Habari za usiku.
Nilidhani changamoto ya single mothers ni hukuhuku kwetu nchi za matopeni.
Lakini kumbe nilikuwa nakosea. Hata ulaya kwa wazungu nao wanatoa maneno ya karaha, kejeli, dhihaka kwa single mothers kama ilivyo huku kwetu
Nilifikiri kwa kuwa wenzetu wako mbele kwa ustaarabu hivyo wangewastahi single mothers lakini kumbe sivyo.
Niliona wachache wanaokemea tabia hiyo ya kuwasema single mothers lakini haikufua Dafu kutokana na uchache wao.
Hii inatuambia nini?
1. Wadada ambao hamjaolewa mjichunge sana. Kama hautaki makelele ya jamii ni vizuri uwe makini. Usizae kabla ya ndoa.
2. Vijana tutumie Kinga ili kuepusha mimba zisizotarajiwa.
3. Binadamu wote ni sawasawa ingawaje hawalingani.
Jioni njema
KumbeHuko ndiko walikoanzia,
Africa ilikua hata mume akifa mke anarithiwa, hawezi achwa pekeyake.
Huu ufeminist ndo umeleta shida
Kanywa kakakola imemchanganya.Mkuu wakati unaanza umetusalim Kwa habari za usku,umemaliza unatuambia jion njema....twende na ipi hapo?
🤣🤣Kanywa kakakola imemchsnganya.
Kokakola,kakakola?🤣🤣
Atleast baadhi ya Nchi zinawapa msaada kwa kuwaonea huruma ila wao wenyewe sasa bado ni Majanga.Habari za usiku.
Nilidhani changamoto ya single mothers ni hukuhuku kwetu nchi za matopeni.
Lakini kumbe nilikuwa nakosea. Hata ulaya kwa wazungu nao wanatoa maneno ya karaha, kejeli, dhihaka kwa single mothers kama ilivyo huku kwetu
Nilifikiri kwa kuwa wenzetu wako mbele kwa ustaarabu hivyo wangewastahi single mothers lakini kumbe sivyo.
Niliona wachache wanaokemea tabia hiyo ya kuwasema single mothers lakini haikufua Dafu kutokana na uchache wao.
Hii inatuambia nini?
1. Wadada ambao hamjaolewa mjichunge sana. Kama hautaki makelele ya jamii ni vizuri uwe makini. Usizae kabla ya ndoa.
2. Vijana tutumie Kinga ili kuepusha mimba zisizotarajiwa.
3. Binadamu wote ni sawasawa ingawaje hawalingani.
Jioni njema
HahahaMkuu wakati unaanza umetusalim Kwa habari za usku,umemaliza unatuambia jion njema....twende na ipi hapo?
Atleast baadhi ya Nchi zinawapa msaada kwa kuwaonea huruma ila wao wenyewe sasa bado ni Majanga.
Nilienda Israel walianzishiwa taasisi yao inawalipia watoto bima ya afya na kuwapa fursa za ajira za upendeleo wapate kujimudu kimaisha.
Single maza ni janga Dunia Nzima.
Mkuu wakati unaanza umetusalim Kwa habari za usku,umemaliza unatuambia jion njema....twende na ipi hapo?
Single mother ni kama jela, muda wowote utaingia
Mchanganyo huoHahaha
Huko ndiko walikoanzia,
Africa ilikua hata mume akifa mke anarithiwa, hawezi achwa pekeyake.
Huu ufeminist ndo umeleta shida
Atajidai "mngereza" hana good night kwenye salamu.Ana good evening pekee.Mkuu wakati unaanza umetusalim Kwa habari za usku,umemaliza unatuambia jion njema....twende na ipi hapo?
Shida ya single maza ni ile ile hata awe Mzungu mweupe.Sikuwa najua kama wanaandamwa kama huku kwa kusemwa
Ma single mother wengine hujitengenezea wenyewe huo using legal motherAtleast baadhi ya Nchi zinawapa msaada kwa kuwaonea huruma ila wao wenyewe sasa bado ni Majanga.
Kule Israel nilikuta walianzishiwa taasisi yao inawalipia watoto bima ya afya na kuwapa fursa za ajira za upendeleo wapate kujimudu kimaisha.
Single maza ni janga Dunia Nzima.
Labda ajitete hvoAtajidai "mngereza" hana good night kwenye salamu.Ana good evening pekee.