Kumbe hata kwenye nchi zilizoendelea “single mothers” wako katika hali ngumu

Inakuwa ngumu kukuamini Robert kwasababu nina uhakika hujaishi huko....

Mtandao ni njia ngumu ya kujua hali ya ukanda fulani

Wazungu wakija huku mara ya kwanza wanashangaa kukuta Maghorofa wanajua watakuta vumbi tu
 

Asilimia 90 ya single mothers wanasifa ulizotaja hapo

Hiyo 10 ni wajane + waliopata wanaume wahuni wakawadanganya
 
Hii Namba Tatu,ni kwa Asilimia kubwaa saaaaaana Ndugu..
 
Kumbe wanaandamwa pande zote za Dunia🤔
Nikajua huku kwetu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…