Kumbe hata Marekani inaathiriwa sana na vita vya Ukraine, Senator ampinga Biden

Wamerekani wanaimarisha viwanda vyao vya silaha kwa kukopa China na kuuza silaha Ukrane na kwingineko wakati nchi za ulaya zikiiendelea kupata hasara. Marekani inaitumia NATO kibiashara zaidi.
Wakati lipo tishio la mnyama dubu - kwa maana Urusi - dhidi ya mataifa ya Ulaya Magharibi kiulinzi/kiusalama na wakati huo huo mataifa hayo hayataki kuwekeza kwa nguvu katika kutengeneza silaha n.k. kwa ajili ya kujihami (kwa mfano Ujerumani na Ufaransa ikilinganishwa na ukubwa wa chumi zake), zitaendelea kutegemea NATO na hivyo silaha za Marekani kujihami. Marekani imekuwa inashinikiza mataifa hayo kuwajibika kikamilifu lakini bila mafanikio makubwa. Hayo ndio matokeo ya ukaidi wao. Kumbukeni dhana ya 'free riding' kwenye bajeti na siasa za NATO.
 
Huyu Senator wa Marekani amekwamisha msaa wa Dola 40 bil kwenda Ukraine kusaidia vita yake dhidi ya Urusi. Anasema kama msaada huu utapelekwa utaifanya Marekani iwe imetumia UDD 60bil ndani ya miezi 2 kuisaidia Ukraine, hizi ni hela nyingi sana kutumiwa na nchi ambayo inakopa kutoka China na Ina madeni makubwa ya wachina. Pesa hizi ni nyingi kuliko pesa zinazotengwa kuendesha vitengo muhimu sana vya Marekani.

Anaendelea kusema kuwa gharama za maisha kwa wamarekani zimepanda kutokana na kupanda bei za vitu sokoni. Hakubali hakubali hakubali
Na kwakuongezea tu hapo Muuza viatu ni kwamba:
Hiyo $60bil ni
Kubwa kuliko tax us wanakusanya ku construct roads and bridges
Ni kubwa kuliko badget ya state department hata kwenye energy sector.

Kwakifupi they cant save ukraine by dooming america's economy
 
Joe Biden ataangushwa na serikali yake very soon. Republicans (GOP) wako serious about this expenditures
 
Huyo bwana hafahamu kwamba Russia kushinda Ukraine itamfanya expansionist Putin awe na jeuri ya kuzivamia nchi za Nato hali ambayo itaipelekea Marekani itumie gharama mara 20 ya hapo.
 
WANASIIHAASAAA watu wahovyo sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasiasa wamenunuliwa na matajiri wa makampuni ya silaha (Millitary Industrial Complex). Kinachofanyika ni wao kuunga mkono kupitisha bajeti hii mwisho wa siku sehemu kubwa ya hizo hela zitarud kwao coz ndo watakaotengeneza hizo silaha za kupeleka uko Ukraine. Also pia itawapa U.S sababu za kuwashawishi washirika wake wanunue silah zaid kujiham na Russia.
 
ukishiba ubwabwa jampa ulale , her haruf ya ushuz wko kuliko huu utopolo wko ,wenzio wanaangalia mbali zaid , Russia expansionism ndio inapingwa na lengo sio kushinda vita tu ila kumfanya Russia awe na uoga next time maana vita hii imemcost , at first yeye pekee kichaa kumbe wapo wakujitoa muhanga zaid yake
 
Huyo bwana hafahamu kwamba Russia kushinda Ukraine itamfanya expansionist Putin awe na jeuri ya kuzivamia nchi za Nato hali ambayo itaipelekea Marekani itumie gharama mara 20 ya hapo.
Kama Urusi na China zikianguka dunia itakuwa mahali pabaya sana kuishi. Nchi za magharibi hazioni kama watu wengine wana maana. Yale mawazo ya ukoloni bado wanayo kwenye fikira zao, ni maswala tu muda.
 
Lini China au Russia walimthamini mtu mweusi si waga wanasema sisi ni manyani tu, hao nao ni watu.
 
Back
Top Bottom