Kumbe hata Ulaya hakuna Uhuru wa kutoa Maoni, Wanaounga mkono Hamas na kuikosoa Israel wanapigwa rungu

Wafelistiin hawakuuza eneo Kwa WAISRAEL,Bali Kwa Ibrahim..na Ibrahim Alinunua eneo baadhi tuh kama shamba afanye makazi na sehemu ya kuzika kizazi chake,even though yakobo aliacha vizazi vyake ila haiondoi ukweli kwamba wafelistiin ndio walikuwa wazawa wa eneo Hilo,na hapo ndipo watu waliposhauri wazo la two states solution, besides hao Jews walikuwa wapi before 1948?
Yes hao waisraeli ndo uzao wa Ibrahim na hapo kutoka Kwa isaka, yakobo mpaka Kwa hao waisraeli . Wafisiliti waliuza eneo Kwa Ibrahim na kizazi cha Ibrahim kikaongezeka . Hapo ndo mtafaruku ulipo
 
Kuteseka kote huku bado tu Wapalestina na Waisrael huwaona Kenge tu miafrika mnaojipendekeza [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Siyo wote, ukimbagua anayekubagua should you have comitted the same sin as does the former!

Mpende asiye kupenda! Kinachotokea Palestina na Ukraine are two things of same nature lkn Baraza la Usalama la UN limeonesha unafiki wa Hali ya juu sana
 
na wew tangaza unaunga mkono wale waliochinja watu kule mtwara au waunge mkono alshabab , si unataka uhuru wa maoni kwenye kila kitu ? Wote hao wanapigania kuundwa mataifa kwa milengo yao
 
Magaidi kwa vigezo vya nani?,

Madai yao yanasema, wamevamiwa.
Ni kama Urusi anavyoivamia Ukraine ndicho anachokifanya Israel
ww kwel ni mpumbav hamas wanaua raia wema wa israel na unajuwa hlf bado unauliza kwasabab gan , hv upo timamu kichwan kwel?
 
Madai yao unayajua?
Wanasema nchi yao(Palestina) imevamiwa na Wayahudi
nchi gan imevamiwa ? ebu kasome historia acha upumbav ,kihistoria hapo ni kwa waisrael ila waliporud hapo walitumia ustaraabu walinunua maeneo ya bonden ambao hakwepo mtu kbs na mwingereza alipotangaza kuiacha nchi hiyo huru waisrael wakajitangazia uhuru kwenye hayo maeneo huku wapalestina walikuwa na robo tatu ya nchi nzima ila kwa tamaa zao badala waunde nchi yao , wao wakataka kuwafukuza waisrael kwenye hako kaeneo kadogo sn , haya unayaona sasa ni malipo ya upumbav wao , kma wangeunda nchi yao bas wao wangekuwa na nchi yenye ardhi kubwa kuliko waisrael kma ailivyo SA ndan yale ipo Swaliland na Lesotho ila Mandela hakutaka mambo yawe mengi , ila tamaa iliwaponza hawa wapalestina , umenivamia na unaonesha huna mpango wa kukoma kunivamia ss kwann nisiyakamate maeneo strategic kwako kunishambulia kiulahisi ? IFIKE MUDA WAPALESTINA WALAUMIWE KWA UPUMVAV WAO , UBAGUZ WAO NDO UMEWAFIKISHA HAPA , ITALIA WALIKUBALI KUIPA VATICAN MAMLAKA YOTE , zipo nchi nying ndan yake kuna nchi nyingne
 
Dini ndio ujinga pekee unaosumbua dunia. Maana kila mwenye dini hujiona bora zaidi kuliko mwingine.
 
Magaidi kwa vigezo vya nani?,

Madai yao yanasema, wamevamiwa.
Ni kama Urusi anavyoivamia Ukraine ndicho anachokifanya Israel
Wewe nawe hamnazo kabisa.
Naomba unijibu maswali haya:-
👉Je unaamini biblia?
👉Je taifa la Israel linalotajwa kwenye biblia lipo au halipo?
👉Na kama lipo je eneo lake ni lipi?
👉Na kama halipo ina maana biblia ni kitabu cha hadithi za uongo utamu kolea?
👉Na kama huamini biblia kwamba ni kitabu kitakatifu cha mwenyezi Mungu je unaenda (ga) kanisani kufanya nini?
 
nchi gan imevamiwa ? ebu kasome historia acha upumbav ,kihistoria hapo ni kwa waisrael ila waliporud hapo walitumia ustaraabu walinunua maeneo ya bonden ambao hakwepo mtu kbs na mwingereza alipotangaza kuiacha nchi hiyo huru waisrael wakajitangazia uhuru kwenye hayo maeneo huku wapalestina walikuwa na robo tatu ya nchi nzima ila kwa tamaa zao badala waunde nchi yao , wao wakataka kuwafukuza waisrael kwenye hako kaeneo kadogo sn , haya unayaona sasa ni malipo ya upumbav wao , kma wangeunda nchi yao bas wao wangekuwa na nchi yenye ardhi kubwa kuliko waisrael kma ailivyo SA ndan yale ipo Swaliland na Lesotho ila Mandela hakutaka mambo yawe mengi , ila tamaa iliwaponza hawa wapalestina , umenivamia na unaonesha huna mpango wa kukoma kunivamia ss kwann nisiyakamate maeneo strategic kwako kunishambulia kiulahisi ? IFIKE MUDA WAPALESTINA WALAUMIWE KWA UPUMVAV WAO , UBAGUZ WAO NDO UMEWAFIKISHA HAPA , ITALIA WALIKUBALI KUIPA VATICAN MAMLAKA YOTE , zipo nchi nying ndan yake kuna nchi nyingne
Inafikirisha sana !
Ila kwa sasa pande zote mbili wasishupaze shingo zao !
Ni Heri wakubali kupatanishwa zipatikane Nchi mbili Jirani zenye amani ! Vinginevyo wataishi hivi hivi kwa mateso milele !

Angalizo ni kwamba wapo wakubwa wa kutoka pande hizo mbili wananufaika kweli kweli kila hizi vita zinavyotokea !!
Wahenga walisemaga “ kufa kufaana “ so sad 😭
 
Wewe nawe hamnazo kabisa.
Naomba unijibu maswali haya:-
👉Je unaamini biblia?
👉Je taifa la Israel linalotajwa kwenye biblia lipo au halipo?
👉Na kama lipo je eneo lake ni lipi?
👉Na kama halipo ina maana biblia ni kitabu cha hadithi za uongo utamu kolea?
👉Na kama huamini biblia kwamba ni kitabu kitakatifu cha mwenyezi Mungu je unaenda (ga) kanisani kufanya nini?

Biblia sio kitabu cha kiyahudi bali cha Kikristo.
Wayahudi hawatumii Biblia.
Alafu Biblia haiwezi kuwa kigezo katika level za kimataifa ambapo Kuna Watu na jamii nyingi zisizoamini katika Biblia.
 
nchi gan imevamiwa ? ebu kasome historia acha upumbav ,kihistoria hapo ni kwa waisrael ila waliporud hapo walitumia ustaraabu walinunua maeneo ya bonden ambao hakwepo mtu kbs na mwingereza alipotangaza kuiacha nchi hiyo huru waisrael wakajitangazia uhuru kwenye hayo maeneo huku wapalestina walikuwa na robo tatu ya nchi nzima ila kwa tamaa zao badala waunde nchi yao , wao wakataka kuwafukuza waisrael kwenye hako kaeneo kadogo sn , haya unayaona sasa ni malipo ya upumbav wao , kma wangeunda nchi yao bas wao wangekuwa na nchi yenye ardhi kubwa kuliko waisrael kma ailivyo SA ndan yale ipo Swaliland na Lesotho ila Mandela hakutaka mambo yawe mengi , ila tamaa iliwaponza hawa wapalestina , umenivamia na unaonesha huna mpango wa kukoma kunivamia ss kwann nisiyakamate maeneo strategic kwako kunishambulia kiulahisi ? IFIKE MUDA WAPALESTINA WALAUMIWE KWA UPUMVAV WAO , UBAGUZ WAO NDO UMEWAFIKISHA HAPA , ITALIA WALIKUBALI KUIPA VATICAN MAMLAKA YOTE , zipo nchi nying ndan yake kuna nchi nyingne

Hata Zimbabwe walifukuza Walowezi wa kireno.
Ndicho walichokuwa wanataka kufanya Wapelestina
 
Siyo wote, ukimbagua anayekubagua should you have comitted the same sin as does the former!

Mpende asiye kupenda! Kinachotokea Palestina na Ukraine are two things of same nature lkn Baraza la Usalama la UN limeonesha unafiki wa Hali ya juu sana
Baraza la Usalama lipo kwa mujibu wa matakwa ya USA ! The big sponsor of UN. !!
Huwezi kuukata mkono unaokulisha 😅🙏
 
Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.

Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.

Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).

Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki.
Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas( maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.

Je hiyo ndio demokrasia?

Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?

Jioni njema

Ulaya hata ukipinga mtoto wako mdogo asifundishwe ushoga darasani unakula rungu la mdomo.

Halafu mnawaona wazungu watu wa maana sana.
 
Wapalestina Wenyewe hilo wanalielewa vizuri ila wanadai Wana sehemu ya Urithi wa Esau

Ikumbukwe Esau alimuoa mtoto wa Ishmael Baada ya kuingizwa mjini na Israel ( Yakobo)
Lakini wapalestina sio uzao wa Ismael.Ila nakubaliana nawe kuwa Esau alioa uzao wa Ismael,na uzao wa wapalestina.Kwa hiyo Esau ni shemeji wa wapalestina
 
Akili finyu tuh, sijui why mnamuogopa mwarabu Kwa kiwango Hiko....

Mwisho wake mje mseme kwamba wanaomwaga damu huko Russia na Ukraine ni waarabu,mjifunze kuangalia mambo Kwa kutazama chanzo Cha tatizo kwanza.
Ndio ukweli huo mjomba. Ulaya sasa hivi ndio wameshtuka kwamba walifanya makosa makubwa sana kuwapokea wakimbizi kutoka Syria, Lebanon, North Africa nk.
Wameshaanza vitendo vya kigaidi
 
Back
Top Bottom