Kumbe hata Ulaya hakuna Uhuru wa kutoa Maoni, Wanaounga mkono Hamas na kuikosoa Israel wanapigwa rungu

Nyerere yeye alitoka sehemu ya Tanganyika. Naye ni mtanganyika.
Ni tofauti na Ibrahim aliyesafiri maelfu ya Maili na kuivamia Kanaani
Lakini inasemekana Ibrahim alipofika hapo Kwa mara ya kwanza kutoka mesopotamia na mkewe Sarah hakuweza kuishi kutokana na Hali yake ya kiuchumi wakati huo,aliunganisha kwenda Egypt,baada ya seke seke la Egypt la pharao kumtaka kumchukua mke wake Sarah kutokana na Urembo wa huyo mama kufeli,na hatimaye Pharao kufikia hatua ya kumuomba radhi Ibrahim na kumpa fidia ya Mali na kumpa Sarah Bint Mfalme Hagar awe chini ya miliki Yao,Kisha Ibrahim alipoamua kuondoka Egypt na kurejea kaanani Alinunua Hiko kipande Cha Ardhi Kwa wafelistiin.
 
Alinunua eneo dogo na wala sio nchi nzima
 
Wapalestina Wenyewe hilo wanalielewa vizuri ila wanadai Wana sehemu ya Urithi wa Esau

Ikumbukwe Esau alimuoa mtoto wa Ishmael Baada ya kuingizwa mjini na Israel ( Yakobo)
Acha kuingiza hekaya za Biblia kwenye vitu serious.

Israel ni wavamizi wa Ardhi ya Wapalestina.

Hao kina Esau sijui Yakobo ni Fiction characters. Hawapo.
 
😀😀
Kwa hiyo ugaidi ni jina la kumpa adui sio.
Yaani siku hizi adui ni kisawe cha gaidi
Ugaidi ni filosofia

Ndio sababu Mbowe alitaka Ole sabaya na Siro wawe mashahidi wa Utetezi na Kesi ikaishia hapo

Hamas wamelipua hospital na sasa Wanataka Israel Ndio iwatetee 😂

Kama unadhani Kesi ya Mbowe ilimalizwa kisiasa utakuwa unajidanganya sana😀
 
Lakini inasemekana Ibrahim alipofika hapo Kwa mara ya kwanza kutoka mesopotamia na mkewe Sarah hakuweza kuishi kutokana na Hali yake ya kiuchumi wakati huo,aliunganisha kwenda Egypt,baada ya seke seke la Egypt la pharao kumtaka kumchukua mke wake Sarah kutokana na Urembo wa huyo mama kufeli,na hatimaye Pharao kufikia hatua ya kumuomba radhi Ibrahim na kumpa fidia ya Mali na kumpa Sarah Bint Mfalme Hagar awe chini ya miliki Yao,Kisha Ibrahim alipoamua kuondoka Egypt na kurejea kaanani Alinunua Hiko kipande Cha Ardhi Kwa wafelistiin.
Yes, hao Wafisiliti waliuza wenyewe eneo Kwa waisraeli (ambao walikuwa watoto wa yakobo). Na eneo alilonunua Ibrahim ndo sehemu alipomzika mke wake na ndugu zake. Hivo waisraeli hapo ni kama kwao tuu. ( Patamu hapa[emoji23]). Ni kama wazaramo kuuza maeneo Kwa wachaga na wakinga harafu wazaramo waanze kulilia eneo walilo uza hapo ndo kimbembe...
 
Magaidi HAMAS na mengine mengi ni lazima yalaamiwe Duniani kote.
 
Ugaidi ni filosofia

Ndio sababu Mbowe alitaka Ole sabaya na Siro wawe mashahidi wa Utetezi na Kesi ikaishia hapo

Hamas wamelipua hospital na sasa Wanataka Israel Ndio iwatetee 😂

Kama unadhani Kesi ya Mbowe ilimalizwa kisiasa utakuwa unajidanganya sana😀

Kwa hiyo shutuma za ugaidi kwa Mbowe ni kweli?

Israel waache kuwafanyia wenzao ukora.
 
Yes, hao Wafisiliti waliuza wenyewe eneo Kwa waisraeli (ambao walikuwa watoto wa yakobo). Na eneo alilonunua Ibrahim ndo sehemu alipomzika mke wake na ndugu zake. Hivo waisraeli hapo ni kama kwao tuu. ( Patamu hapa[emoji23]). Ni kama wazaramo kuuza maeneo Kwa wachaga na wakinga harafu wazaramo waanze kulilia eneo walilo uza hapo ndo kimbembe...

Hakununua nchi nzima.
Alinunua maeneo kama shamba la Makpela huko Hebron ambapo ipo ndani ya Kanaani
 
Ni kama unalinganisha JW na Red brigade sasa bwashee 😀

Moja lina majukumu ya Kulinda nchi na kakikundi kengine ni mgambo tu kama akina Mmawia wa Kulinda chama
You are wrong...

The one you call A Terrorist is someone else's Freedom Fighter...keep that on your mind...
 
Mahmoud Abbas ndiye freedom fighter wa Wapalestina

Hamas Wana majukumu zaidi ya hayo Ndio hata Rafiki zake utawaona akina Taleban, Al.qaida, ISIS, Al shabab nk nk
 
Back
Top Bottom