Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Magaidi Hamas,, Gaidi Ni Gaidi tuuu..kawasaidie basi Dogo langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In American's definitionHamasi ni Magaidi
Mlale Unono 😀
achana na hadithi za kusadikika kwanza,mtu avamie shamba lako afu aseme MUNGU alimpa urithi utamuelewa?Wapalestina Wenyewe hilo wanalielewa vizuri ila wanadai Wana sehemu ya Urithi wa Esau
Ikumbukwe Esau alimuoa mtoto wa Ishmael Baada ya kuingizwa mjini na Israel ( Yakobo)
Kwenye vita hayo ni mambo ya kawaidaKushabikia watu wanabaka, wanateka, wanachinja, wanaua wanawake na watoto lazma uchukuliwe hatua, hamna uhuru wa kuunga mkono magaidi wanaotangaza kuua wayahudi na wakristo
Leo hii, wewe ukianza kusema Comoro ni nchi ya Watanzania, nani atazingatia?
Ufahamu kuwa hakujawahi kuwepo nchi inayoitwa Palestina, hata kabla ya Umoja wa mataifa kuundwa.
Katika ramani ya Ulimwengu wa kale, Wayahudi walimiliki nchi ya Kanani ambayo kwa sasa inajumuisha eneo lote la Israel, eneo lote la Wapalestina, na baadhi ya maeneo ya Lebanon, Jordan na Syria.
Kabla ya Yesu, eneo hilo lilikuwa na Israel kingdoms 2, moja ikiitwa Israel, na ya pili ikiitwa Judea. Na hawa wanaoitwa Wapalestina, kiuhalisia ni Wayahudi walioishi eneo la Judea, jina linalotokana na Yuda, mtoto wa kwanza wa Yakobo.
Hawa Wapalestina na Wayahudi ni ndugu wanaofarakanishwa na Iran. Bila Iran, haya yanayotokea yasingekuwepo. Iran ndiye shetani anayewamaliza Wapalestina na Wayahudi.
Kutetea ndiyo kwenda kujiripua na kuua watu?
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Mkuu nakuaminia, fatilia Kwa makini. Hakuna anayeunga mkono palestina anabugudhiwa, wanaobugudhiwa ni wale wanaounga mkono kikundi Cha kigaidi HAMAS. Ni sawa na uunge mkono alkaida utegemee kuchekewa
Wanaupinga Israel kwenye Nini?. Maana Israel ndio kachokozwa. Israel angekaa kimya? Punguza unafiki.
Sasa Hao waandamaji si waende Gaza.Wanakimbilia ulaya toka uarabuni baada ya kukinukisha kwao halafu wanaleta vurugu nchi za watu🤔
Unaruhusiwa kutoa maoni yako lakini siyo kushabikia ugaidi au majanga ya kiasili. Ugaidi na majanga ya kiasili, ni calamities ambazo hazitakiwi kupata ushabiki. Una uwezo wa kukosoa au kutoa mawazo yako juu ya namna ya kuyashughulikia lakini siyo kuyashangilia.
Kuwashabikia magaidi na wewe unakuwa sehemu ya magaidi. Na kama ikidhihirika kuwa wewe ni sehemu ya magaidi utashughulikiwa kama magaidi wenyewe.
Umeangukia kwenye propaganda, wale hawaungi mkono hamas, wanaunga mkono palestine,Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.
Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).
Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki.
Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas( maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.
Je hiyo ndio demokrasia?
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?
Jioni njema
Umeangukia kwenye propaganda, wale hawaungi mkono hamas, wanaunga mkono palestine,
Ndo mana hata bendera wanayoipeperusha ni ya Palestine sio hamas.
Machadomo ndio Hawa yanadanaganya wajinga.Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.
Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).
Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki.
Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas( maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.
Je hiyo ndio demokrasia?
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?
Jioni njema
Machadomo ndio Hawa yanadanaganya wajinga.
Serikali iwashugulikie imagine watu wanahubiri kutengana kati ya Tanganyika na Zanzibar watu wa hivi Nyerere alifukuza Nchini na sio wa kuwachekea
Ugomvi huo wala haumuhusu Ishmael,wanaopigana hapo ni mapacha wa tumbo moja,Esau (Edomu)na Yakobo(Israel).Baraka za Ishmael ziko nje ya agano
Urithi wa Ardhi alipewa Isaka
Hupo sahihi,maandiko yote yanaonesha ugomvi ni baina ya Esau(Edomu)na Yakobo(Israel).Wapalestina Wenyewe hilo wanalielewa vizuri ila wanadai Wana sehemu ya Urithi wa Esau
Ikumbukwe Esau alimuoa mtoto wa Ishmael Baada ya kuingizwa mjini na Israel ( Yakobo)
Nchi yao walipewa na nani? Tutakaa kutatua mgogoro huu kwa mlengo wa dini tunatoa lawama kwa mlengo wa dini basi mvamizi atajulikana, ili dunia pawe mahali salama pa kuishi basi watu na wakae pamoja washaurine na wamalize tofauti zao kwa amani. Yaani wewe unau watu maelfu wako wakishambuliwa na kuuliwa inalalamika! Muuaji naye upanga uumpitie hakuna namnaKwa nini wavamie?
Madai ya hiyo nchi kuwa ni yao na sio ya Wayahudi mbona hayazingatiwi?