Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sara alimwambia Ibrahim Mfukuze Hajira na Ishmael kwa sababu mwanangu Isaka hatarithi pamoja na Mwana wa KijakaziUgomvi huo wala haumuhusu Ishmael,wanaopigana hapo ni mapacha wa tumbo moja,Esau (Edomu)na Yakobo(Israel).
Hakuna maandiko yoyote yanayo onesha Ishmael kuwa na ogomvi na Isaka.
Nchi yao walipewa na nani? Tutakaa kutatua mgogoro huu kwa mlengo wa dini tunatoa lawama kwa mlengo wa dini basi mvamizi atajulikana, ili dunia pawe mahali salama pa kuishi basi watu na wakae pamoja washaurine na wamalize tofauti zao kwa amani. Yaani wewe unau watu maelfu wako wakishambuliwa na kuuliwa inalalamika! Muuaji naye upanga uumpitie hakuna namna
Sara alimwambia Ibrahim Mfukuze Hajira na Ishmael kwa sababu mwanangu Isaka hatarithi pamoja na Mwana wa Kijakazi
Wakati Isaka anazaliwa Ishmael alikuwa na miaka 13 alimfanyia dhihaka Sarah Wakati akifurahia kujifungua mtoto ambaye ni Isaka
Someni Bible Vijana Mwanzo 22 😀😀
je kweli magaidi?Hamasi ni Magaidi
Mlale Unono 😀
Dunia ya double standards hiiBila shaka mkoa Pouwa Kabisa.
Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).
Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki.
Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas( maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.
Je hiyo ndio demokrasia?
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?
Jioni njema
Dunia ya double standards hii
Haki ipo mbinguni tu !
Huku kwingine ni Abracadabra kwa kwenda mbele !!
Kwani Nyerere alivyoingia Tanganyika hakukuta wenyeji?Wakati Ibrahim anaingia hapo Kanaani hakukuta wenyeji?
Kwani Nyerere alivyoingia Tanganyika hakukuta wenyeji?
Twende kwa mifano hai
cc: mkuu BAK
Ulaya walifanya kosa kubwa sana kuwakaribisha waarabu.
It’s too late now wajiandae kwa mabomu ya kujitoa mhanga
Je ni magaidi dhidi ya wavamizi ?!je kweli magaidi?
Kama wameweza kuuwa watu 260 kwa mara Moja waliokuwa kwenye sherehe Zao, bila shaka hao ni Magaidije kweli magaidi?
Chama cha Magaidi CCMHamasi ni Magaidi
Mlale Unono 😀
Hata Nyerere alisafiriNyerere yeye alitoka sehemu ya Tanganyika. Naye ni mtanganyika.
Ni tofauti na Ibrahim aliyesafiri maelfu ya Maili na kuivamia Kanaani
Hata Nyerere alisafiri
Hata Mbowe alipopambana na Ole sabaya aliitwa Gaidi na kutupwa jelaJe ni magaidi dhidi ya wavamizi ?!
Maana ha Mandela alipokuwa anapambana na Makaburu aliitwa Kiongozi wa magaidi wa ANC !
Double Standards !!
Haki ipo mbinguni tu ! Duniani ni mnyonge hana haki mpaka mwenye nguvu apende !!🙏🙏
Abracadabra !
Huko watu hawataki kujua 😅🙏 !😀😀
Watu wanawataka sijui kina Yesu sijui kina Zaidi. Lakini wanagoma kurudi nyuma kabla ya kina Ibrahim hiyo nchi ilikuwa Mali ya nani
Ninachosema Nyerere ni baba wa taifa la TanzaniaUnajaribu kueleza kuwa Nyerere alipozaliwa na kukulia sio Tanganyika.
Kwa hiyo mimi niliyetoka Makanya, niliongozana nchi hii nitaambiwa nami nilisafiri na sikuwa mtanganyika?
😅😅😅🙏Hata Mbowe alipopambana na Ole sabaya aliitwa Gaidi na kutupwa jela
Tuongee kwa mfano hai