imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Hebu fafanua zaidiUnateteaje ugaidi wapigwe tu na PT ziwapitie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu fafanua zaidiUnateteaje ugaidi wapigwe tu na PT ziwapitie
Mkuu nakuaminia, fatilia Kwa makini. Hakuna anayeunga mkono palestina anabugudhiwa, wanaobugudhiwa ni wale wanaounga mkono kikundi Cha kigaidi HAMAS. Ni sawa na uunge mkono alkaida utegemee kuchekewaBila shaka mkoa Pouwa Kabisa.
Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).
Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki.
Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas( maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.
Je hiyo ndio demokrasia?
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?
Jioni njema
Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.

Na wale wapiganaji wa ANC waliotaka kupewa haki na uhuru kwa nchi iliyokuwa na Ubaguzi na ukandamizaji, wazungu waliwaita magaidi pia. Sisi kama nchi msimamo wetu tangu awali ni kuwaunga mkono Palestina kuondoa ukandamizaji na kuleta uhuru kama tulivyokuwa upande wa ANC. Msilete unafiki, kwamba Afrika kusini ni sawa lakini Paleatina hapana? Kaa sababu ni Waislamu? Haki ni haki tuHamas ni magaidi . Wapigwe tu
Unaruhusiwa kutoa maoni yako lakini siyo kushabikia ugaidi au majanga ya kiasili. Ugaidi na majanga ya kiasili, ni calamities ambazo hazitakiwi kupata ushabiki. Una uwezo wa kukosoa au kutoa mawazo yako juu ya namna ya kuyashughulikia lakini siyo kuyashangilia.Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.
Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).
Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki.
Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas( maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.
Je hiyo ndio demokrasia?
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?
Jioni njema
Inaonesha huna uelewa kabisa wa mambo mengi ya Ulimwengu huu.Magaidi kwa vigezo vya nani?,
Madai yao yanasema, wamevamiwa.
Ni kama Urusi anavyoivamia Ukraine ndicho anachokifanya Israel
We ni katika wale ambao hata hujui sababu ya kinachogombaniwa pale Palestina. Mfano mtu aje akutoe nje ya nyumba yako halafu aikalie kwa nguvu. Ukianza kupambana nae kumtoa kwa nguvu na mashambulizi tutasema umemchokoza? Ile ni ardhi ya wapalestina, israel alikaribishwa tu kwa msaada wa Uingereza, sasa kamfanya mwenzake mkimbizi, hawezi kujitawala, hana mamlaka kwenye nchi yake kwa kutumia nguvu ya kijeshi, kwa msaada wa mataifa wazungu!! Nafikiri ukitaka kuelewa utaelewaWanaupinga Israel kwenye Nini?. Maana Israel ndio kachokozwa. Israel angekaa kimya? Punguza unafiki.
Tanzania tunawaunga mkono Palestine chini ya uongozi wa PLO. Hatuwaungi mkono HamasNa wale wapiganaji wa ANC waliotaka kupewa haki na uhuru kwa nchi iliyokuwa na Ubaguzi na ukandamizaji, wazungu waliwaita magaidi pia. Sisi kama nchi msimamo wetu tangu awali ni kuwaunga mkono Palestina kuondoa ukandamizaji na kuleta uhuru kama tulivyokuwa upande wa ANC. Msilete unafiki, kwamba Afrika kusini ni sawa lakini Paleatina hapana? Kaa sababu ni Waislamu? Haki ni haki tu
Walikuambia hivyo lini? Hakuna nchi inayoitwa Palestina, bali kuna mamlaka ya Palestina, kama ilivyo Zanzibar.Madai yao unayajua?
Wanasema nchi yao(Palestina) imevamiwa na Wayahudi
Unafikiri kukosoa kwa kutoa maoni ndo utaweza kukomboa nchi iliyokaliwa kimabavu? Kama ni hivyo basi tusingekuwa tumepata uhuru mpaka leo! Akina mkwawa unafikiri walivyokuwa wanapigana na wajerumani walikuwa "magaidi"?Unaruhusiwa kutoa maoni yako lakini siyo kushabikia ugaidi au majanga ya kiasili. Ugaidi na majanga ya kiasili, ni calamities ambazo hazitakiwi kupata ushabiki. Una uwezo wa kukosoa au kutoa mawazo yako juu ya namna ya kuyashughulikia lakini siyo kuyashangilia.
Kuwashabikia magaidi na wewe unakuwa sehemu ya magaidi. Na kama ikidhihirika kuwa wewe ni sehemu ya magaidi utashughulikiwa kama magaidi wenyewe.
Hamas wachokozi, walianza wenyewe, acha wapate walichokuwa wanakitafuta!!Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.
Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).
Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki.
Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas( maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.
Je hiyo ndio demokrasia?
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?
Jioni njema
Hadithi tu hiziWapalestina Wenyewe hilo wanalielewa vizuri ila wanadai Wana sehemu ya Urithi wa Esau
Ikumbukwe Esau alimuoa mtoto wa Ishmael Baada ya kuingizwa mjini na Israel ( Yakobo)
Kutetea ndiyo kwenda kujiripua na kuua watu?Rex
Kutetea nchi yako ni ugaidi?
Kwenye mapambano ya kudai uhuru lazima kuwe na mpango wa kisiasa na pia mpango wa mapambano ya silaha. Hilo neno ugaidi linatumiwa tu na wazungu kuwapa majina mabaya ili kuficha kile wanachodai.Tanzania tunawaunga mkono Palestine chini ya uongozi wa PLO. Hatuwaungi mkono Hamas
Hata kule SA tulikuwa tuna wsi ha mkono ANC na sio wale waliotangaza wazi kuangamiza Makaburu wote
Aliuza uridhi wake kwa njaa ya siku mojaWapalestina Wenyewe hilo wanalielewa vizuri ila wanadai Wana sehemu ya Urithi wa Esau
Ikumbukwe Esau alimuoa mtoto wa Ishmael Baada ya kuingizwa mjini na Israel ( Yakobo)
Ndipo ushangae wamekimbia uarabuni wanaenda kuandamana Ulaya [emoji3][emoji3][emoji3] wangepigwa kama Kenya .Sasa Hao waandamaji si waende Gaza.Wanakimbilia ulaya toka uarabuni baada ya kukinukisha kwao halafu wanaleta vurugu nchi za watu[emoji848]
Wapalestina ndio wanawafahamu 😀Hadithi tu hizi
Huyo sijui Ishmael au Isaka unamfahamu?