Lakini inasemekana Ibrahim alipofika hapo Kwa mara ya kwanza kutoka mesopotamia na mkewe Sarah hakuweza kuishi kutokana na Hali yake ya kiuchumi wakati huo,aliunganisha kwenda Egypt,baada ya seke seke la Egypt la pharao kumtaka kumchukua mke wake Sarah kutokana na Urembo wa huyo mama kufeli,na hatimaye Pharao kufikia hatua ya kumuomba radhi Ibrahim na kumpa fidia ya Mali na kumpa Sarah Bint Mfalme Hagar awe chini ya miliki Yao,Kisha Ibrahim alipoamua kuondoka Egypt na kurejea kaanani Alinunua Hiko kipande Cha Ardhi Kwa wafelistiin.