Kumbe hata Ulaya hakuna Uhuru wa kutoa Maoni, Wanaounga mkono Hamas na kuikosoa Israel wanapigwa rungu

Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.

Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.

Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).

Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki.
Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas( maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.

Je hiyo ndio demokrasia?

Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?

Jioni njema
Wewe nenda kaseme Halocoust fake, nenda kasema LGBT wapumbavu, nenda ukasifu Hamas ndio utajuwa kuna uhuru au hapana. Hawa jamaa wanataka uongee lugha yao tu. Mashirika yote makubwa yanaongozwa Mayahudi au Mashoga na ndio wanasukuma agenda hizi. Dunia imeisha, hili la mashoga kidogo wamepiga break huku Africa wameona upinzani ni mkubwa kuliko njaa zetu, wametaka kulifanya UN kuwa na haki ya binadamu ili tutekeleze kwa sababu sisi ni member wa UN. Hawa jamaa hawafai.
 
"If you're not careful, the newspapers will have you hating the people who are being oppressed, and loving the people who are doing the oppressing."
-Malcolm X-
 
Biblia sio kitabu cha kiyahudi bali cha Kikristo.
Wayahudi hawatumii Biblia.
Alafu Biblia haiwezi kuwa kigezo katika level za kimataifa ambapo Kuna Watu na jamii nyingi zisizoamini katika Biblia.
Where is your official empirical evidence which realizes that "Jews do not using Biblical references for solving this war between them and Palestinians"?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ulaya hata ukipinga mtoto wako mdogo asifundishwe ushoga darasani unakula rungu la mdomo.

Halafu mnawaona wazungu watu wa maana sana.
Bado tu hujaolewa na MK254? Maana ndiye mnaendana naye kwa ubaguzi wa kidini baina ya Wavaa kobazi vs Wagalatia [emoji851]

Mara ngapi Waafrika wanaoenda kufanya kazi za ndani Uarabuni hurudi wakiwa wamefanyiwa ushenzi wa kinyume na maumbile lakini huwezi kukuta humu JF Watu wa imani za Ukristo, Rastafarians, Paganism, Buddhism na Hinduism wakiwadhihaki?

Je yule Mwarabu toka Dubai aliyekunya kinyesi chake kwenye mdomo wa Binti wa Nigeria 2021 April, ulihuzunika popote kwa unyama huo?

Kumbe kweli kabisa Wana JF hawakosei wala kukusingizia kukuita Kungwi Mkuu kwa ubaguzi wa kidini [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nanukuu
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas?

Hapa umelinganisha makundi mawili tofauti I
Hamas kwa mtazamo wangu ni magaidi
Na mashoga ni was..ge
Hata babu yako Mkwawa kwa mtazamo wa wajarumani alikua Gaidi
 
Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.

Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.

Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.

Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).

Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki. Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas (maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.

Je, hiyo ndio demokrasia?
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?

Jioni njema
Benzema sio mnafiki.

Hizi shule za kukariri ni janga kuu. Wahitimu wengi wa shule na vyuo vyetu hawajui kuchambua mambo na hata kusoma wanaishia kusoma kichwa cha habari na kutoa conclusion au hawaelewi kabisa. Na wewe ni mmoja wapo. Unajua ni kwa nini wamekamatwa?
 
Back
Top Bottom