FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
"ugaidi" maana yake nini?Unateteaje ugaidi wapigwe tu na PT ziwapitie
Maana hata Magufuli alisema Mbowe ni gaidi akamfunga, mama Samia akaja kumtowa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"ugaidi" maana yake nini?Unateteaje ugaidi wapigwe tu na PT ziwapitie
Tafsiri ziko nyingi ikiwemo ile ya Kingai vs Mbowe"Magaidi" maana yake nini?
Ulaya hata ukipinga mtoto wako mdogo asifundishwe ushoga darasani unakula rungu la mdomo.
Halafu mnawaona wazungu watu wa maana sana.
Magufuli alimfunga Mbowe kwa Ugaidi?"ugaidi" maana yake nini?
Maana hata Magufuli alisema Mbowe ni gaidi akamfunga, mama Samia akaja kumtowa.
Wewe nenda kaseme Halocoust fake, nenda kasema LGBT wapumbavu, nenda ukasifu Hamas ndio utajuwa kuna uhuru au hapana. Hawa jamaa wanataka uongee lugha yao tu. Mashirika yote makubwa yanaongozwa Mayahudi au Mashoga na ndio wanasukuma agenda hizi. Dunia imeisha, hili la mashoga kidogo wamepiga break huku Africa wameona upinzani ni mkubwa kuliko njaa zetu, wametaka kulifanya UN kuwa na haki ya binadamu ili tutekeleze kwa sababu sisi ni member wa UN. Hawa jamaa hawafai.Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.
Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).
Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki.
Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas( maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.
Je hiyo ndio demokrasia?
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?
Jioni njema
Where is your official empirical evidence which realizes that "Jews do not using Biblical references for solving this war between them and Palestinians"?Biblia sio kitabu cha kiyahudi bali cha Kikristo.
Wayahudi hawatumii Biblia.
Alafu Biblia haiwezi kuwa kigezo katika level za kimataifa ambapo Kuna Watu na jamii nyingi zisizoamini katika Biblia.
Bado tu hujaolewa na MK254? Maana ndiye mnaendana naye kwa ubaguzi wa kidini baina ya Wavaa kobazi vs Wagalatia [emoji851]Ulaya hata ukipinga mtoto wako mdogo asifundishwe ushoga darasani unakula rungu la mdomo.
Halafu mnawaona wazungu watu wa maana sana.
Hata babu yako Mkwawa kwa mtazamo wa wajarumani alikua GaidiNanukuu
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas?
Hapa umelinganisha makundi mawili tofauti I
Hamas kwa mtazamo wangu ni magaidi
Na mashoga ni was..ge
Poleni sanaUlaya walifanya kosa kubwa sana kuwakaribisha waarabu.
It’s too late now wajiandae kwa mabomu ya kujitoa mhanga
Huyo nyerere Alivoingia Tanganyika Alitokea wapi?Kwani Nyerere alivyoingia Tanganyika hakukuta wenyeji?
Twende kwa mifano hai
cc: mkuu BAK
Kama ni hivo na israili nae pia ni gaidi maana ameua watu karibu mia 500 aliporipua hospitaliKama wameweza kuuwa watu 260 kwa mara Moja waliokuwa kwenye sherehe Zao, bila shaka hao ni Magaidi
Pole sanaInaonekana duniani bila Ulaya pasingekuwa sehemu salama kabisa kuishi, kwanini popote pale duniani vita ikitokea tu Wakimbizi wote hukimbilia Ulaya?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Benzema sio mnafiki.Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.
Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).
Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki. Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas (maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.
Je, hiyo ndio demokrasia?
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?
Jioni njema
Hizi shule za kukariri ni janga kuu. Wahitimu wengi wa shule na vyuo vyetu hawajui kuchambua mambo na hata kusoma wanaishia kusoma kichwa cha habari na kutoa conclusion au hawaelewi kabisa. Na wewe ni mmoja wapo. Unajua ni kwa nini wamekamatwa?Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.
Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Lakini kumbe hata Ulaya mambo ya kupigana rungu la mdomo yapo. Vita inayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Israel na Palestina (Hamas) imezifanya nchi za Ulaya kuichana Demokrasia kwa wale ambao wanaiunga Mkono Palestina (Hamas).
Wanahubiri kile wasichokifanya. Na hiyo ni dalili ya Unafiki. Habari za Karim Benzema na wachezaji wengine walioiunga mkono Hamas (maana yake kuipinga Israel) wamejikuta katika kunyimwa haki zao za kujieleza kama nchi hivyo zinavyojiita nchi za kidemokrasia.
Je, hiyo ndio demokrasia?
Kama wanaruhusu mtu kushabikia au kufanya ushoga kwa nini iwe shida mtu kuwa upande wa Hamas? Kama wao wanashabikia Israel kwa nini wawazuie wanaoshabikia Hamas? Je hiyo ndio demokrasia?
Jioni njema
Wasalimie.Kwako FaizaFoxy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa hiyo kwako kuuwa watoto wadogo wasiojua hata nini maana ya maisha ndio sahihi ?!! kisa wanapigania nchiMagaidi kwa vigezo vya nani?,
Madai yao yanasema, wamevamiwa.
Ni kama Urusi anavyoivamia Ukraine ndicho anachokifanya Israel
Magharibi wakiwaona waislam wa Palestina roho zinaumaUnadhani Wakristo na Waislamu ni Watu tofauti?
Soma Vitabu Vitakatifu kwa kutulia