GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Ataipata Yeye badala yangu.Genta unatafutiwa ban huku kaa chonjo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataipata Yeye badala yangu.Genta unatafutiwa ban huku kaa chonjo.
Mnapenda sana mkisemewa nyie vzr huko utopoloni..mnachotaka wana Simba wawe hawana furaha wasiwe na kitu kizuri cha kuongea...mnataka msikie tuu misonyo...lawama na malalamiko....pyeeeeeeMbona kama unaweweseka vile!
Huyo ni mwanamke sio kamaHuyu jamaa Huwa kama mwanamke aliyeko kwenye uchungu wa kuzaaa
Huyo ni mwanamke sio kama
Ushahidi unao? 😂 😂 😂Pesa zao za Kampuni Kukwepa Kodi nchini watangulie wakiwa hawajui Ramani yenu ya Vita.
Nimeanza kuviziwa na kutafutwa tokea mwaka 2013 hadi leo hii umeona niemtiwa nguvuni? Acha Kunitisha Mnafiki Wewe.Ushahidi unao? 😂 😂 😂
Alafu let's talk about our team hayo mambo ya Kukwepa kulipa kodi achana nayo yasije yakakuta ya kina Sativa
Nisamehe Mkuu lakini Mimi sio mnafiki hata punjeNimeanza kuviziwa na kutafutwa tokea mwaka 2013 hadi leo hii umeona niemtiwa nguvuni? Acha Kunitisha Mnafiki Wewe.
Sasa sisi madume tusipopenda mademu kama wewe tutapenda nini sasa?ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.
Nimemaliza.
Bora umkatae kwa staili hiyo anajaribu kukuelekeza qibla.ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.
Nimemaliza.
Nina Akili Kubwa ya Kumzidi na Kuwazidi.Bora umkatae kwa staili hiyo anajaribu kukuelekeza qibla.
Kwanini?Huyu jamaa Huwa kama mwanamke aliyeko kwenye uchungu wa kuzaaa
Akikujibu nitagi tafadhali.Kwanini?
Mkuu tumepita mahala pagumu sana kwa kweli tumshukuru Mungu na kuwaombea viongozi wetu waje na suluisho ktk usajili huu.Asante sana Poti wangu ( mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu ) Crescentius Magori ambaye nakukubali kama ambavyo nilikuwa nikimkubali Mapama ( Marehemu Zacharia Hanspoppe ) kwani nimeambiwa kuwa sasa Tajiri na Wewe mnamaliza Shughuli Juu kwa Juu na kimya kimya kwa Kusajili Vyuma huku waliokuwa wakivizia kujua mnakokwenda ili wawahi kwa Pesa zao za Kampuni Kukwepa Kodi nchini watangulie wakiwa hawajui Ramani yenu ya Vita.
Kudadadeki....!!
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.
Nimemaliza.
Acha kumprovoke. Atakuporomoshea matusi kweli.Huyu jamaa Huwa kama mwanamke aliyeko kwenye uchungu wa kuzaaa
Katika hili kuna mawili mkuu, mnaweza mka click vizuri na team kutake off au timu ikayumba zaidi kwani wachezaji watachelewa kuelewana. Hawatakiwi kusajili wachezaji wengi kwa pupa ila wanatakiwa wabakishe ile backbone ya timu na kuongeza wachache kwenye timu.Mkuu tumepita mahala pagumu sana kwa kweli tumshukuru Mungu na kuwaombea viongozi wetu waje na suluisho ktk usajili huu.
Babu shikamooNa iwe hivyo Mkuu
Tumechoka Mwaka wa tatu huu mtani anaendelea kututambia
Marahaba Mjukuu, habari za huko Mjini kwenu?Babu shikamoo