Kumbe hatusajili kwa sasa kwakuwa Skauti wao Mkuu Simba SC anasajili Vyuma vya maana Kimya Kimya tofauti na Misimu iliyopita?

Huyo ni mwanamke sio kama
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU

Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.

Nimemaliza.
 
Pesa zao za Kampuni Kukwepa Kodi nchini watangulie wakiwa hawajui Ramani yenu ya Vita.
Ushahidi unao? 😂 😂 😂
Alafu let's talk about our team hayo mambo ya Kukwepa kulipa kodi achana nayo yasije yakakuta ya kina Sativa
 
Mzee wa Ramuli chonganishi baadae atakuja na thread nyinyinge against hii kama kwenye betting katumia option ya 12 ashinde yeyote , anatembelea gear ya neutral
 
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU

Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.

Nimemaliza.
Sasa sisi madume tusipopenda mademu kama wewe tutapenda nini sasa?
 
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU

Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.

Nimemaliza.
Bora umkatae kwa staili hiyo anajaribu kukuelekeza qibla.
 
Asante sana Poti wangu ( mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu ) Crescentius Magori ambaye nakukubali kama ambavyo nilikuwa nikimkubali Mapama ( Marehemu Zacharia Hanspoppe ) kwani nimeambiwa kuwa sasa Tajiri na Wewe mnamaliza Shughuli Juu kwa Juu na kimya kimya kwa Kusajili Vyuma huku waliokuwa wakivizia kujua mnakokwenda ili wawahi kwa Pesa zao za Kampuni Kukwepa Kodi nchini watangulie wakiwa hawajui Ramani yenu ya Vita.

Kudadadeki....!!

ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU

Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.

Nimemaliza.
Mkuu tumepita mahala pagumu sana kwa kweli tumshukuru Mungu na kuwaombea viongozi wetu waje na suluisho ktk usajili huu.
 
Katika hili kuna mawili mkuu, mnaweza mka click vizuri na team kutake off au timu ikayumba zaidi kwani wachezaji watachelewa kuelewana. Hawatakiwi kusajili wachezaji wengi kwa pupa ila wanatakiwa wabakishe ile backbone ya timu na kuongeza wachache kwenye timu.
 
Kuhusu huu uzi nitaamini endapo wachezaji watakaosajiliwa watakuwa ni nje ya tetesi tunazozisikia. Mpaka sasa tulishasikia tetesi za Lameck Lawi na Simba wakamtambulisha. Ngoja tuone hao waliobaki kama watakuwa wapo nje na tetesi, kama ndio hawa hawa wa tetesi basi swala la usiri na ukimya haupo bali Hersi inawezekana kaona sio wachezaji anaowahitaji kikosini mwake. Tukumbuke tu kuwa Yanga ina benchi la ufundi litakaloongoza timu msimu wa 2024/2025 hivyo wachezaji wanasajiliwa kulingana na mahitaji ya benchi la ufundi.
 
Back
Top Bottom