Kumbe hawa watu wako well informed of what transpired on 29th October 2025

Kumbe hawa watu wako well informed of what transpired on 29th October 2025

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Here it is!
Kwa wanachokiandika, unaona kabisa kuwa wanajua kila kitu. Sidhani kama hao wa Nigeria watasaidia lolote

20260529_130634.jpg
 
Kwa hiyo kuna watu wanadhani hata wakipiga kelele nyingi za CCM na serikali ya Samia kuna jambo litabadirisha msimamo wa Marekani. Watu wanafanya kazi kisomi na si kwa miemko kama CCM. CCM na serikali yao dhalimu wakiona hiyo karatasi wanapagawa mno mpaka wanapoteza network kabisa. Bado Marekani hawajaika kwenye vitendo, watakuwa wanazimia kama wagonjwa wa degedege.
 
Gentleman, watu waliuwawa au hawakuuwawa?
pata maelezo muafaka na ya kina zaidi kwenye ripoti ya Jaji chande gentleman na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela jukwaani kwa kutafuta kiki na public sympathy useless 🐒
 
Naomba ufafnuzi wa hii sms polisi walituma mwezi October 2025
walikutumia wewe pekee gentleman au ni public message?

Ooh,
nimeielewa vema gentleman nadhani ujumbe ameupata vizuri zaidi muhusika.
Asante gentleman kukumbusha na kutahadharisha jambo hilo 🐒
 
Gentleman, watu waliuwawa au hawakuuwawa?
Mbona hujibu swali unanishambulia?
sikushambulii na sina haja ya kufanya hivyo kwa mdau yeyote wa JF, labda ukweli nao kueleza ndio una kukera na kuona kama nakushambuli.

Masuala ya oct 29,2025, sio ya kubuni porojo au stori bali uhalisia wake upo wazi kwenye ripoti ya Jaji chande ambayo iko wazi.

huna haja ya viswali vya kizushi ambavyo tayari vimejibiwa na ripoti ya Jaji chande 🐒
 
mbona hakuna hata gaidi mmoja aliyekamatwa au kuuwawa, ni wananchi wapiga kura wa wakawaida waliuwawa
Gentleman,
unaelezea wapiga kura waliokatwa vidole vilivyokua na wino wa baada ya kupiga kura na baadae kuuawa na magaidi kwasababu tu walienda kupiga kura, right?🐒
 
Back
Top Bottom