Kumbe hawa watu wako well informed of what transpired on 29th October 2025

Kumbe hawa watu wako well informed of what transpired on 29th October 2025

Hao jamaa nafahamu wanajua kila kinachoendelea hapa nyumbani, hasa kwenye masuala ya utekaji na mauaji.

Nikikumbuka ile issue ya Ben Saanane iliyopelekea Makonda kuzuiwa kuingia US, basi sina shaka na hao jamaa wanajua mengi, tena inawezekana wanajua hata yale ambayo sisi wa ndani hatuyajui!.

Sisi wakati mwingine tunaishi kwa hisia, wao wenzetu wanaishi kwa ushahidi.

So, sioni sababu za kushindana na propaganda za wale wabunge wa CCM kule bungeni, wale wanajifurahisha tu kama watoto wadogo, watulie wasubiri vikwazo.
 
Tlaatlaah nasubiri jibu lako Gentleman
Gentleman,
tume ya jinai iliyoundwa na Rais inaendelea na kazi ya uchunguzi wa kina, kujiridhisha na kuthibitisha mambo hayo pasina shaka na hatimae kuchukua hatua muafaka za kisheria kwa watakaothibitika kuhusika kwa namna moja ama nyingine kuhusiana na songombingo hizo .

ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kipindi hiki, lakini pia ni muhimu zaidi kutoa fursa na nafasi ya kutosha kwa tume hiyo ya jinai, kufanya kazi zake kwa nafasi na uhuru ili hatimae kumaliza kabisa utata wa sintofahamu hiyo 🐒
 
Almradi tu uonekane kila post. Hakuna mlichoficha wala mtakachoficha. Kila punje ya ouvu ipo wazi na itawekwa wazi kwa kila mtu aone.
mihemko na porojo kwa pamoja ni vitu nonsense sana gentleman kwenye mijadala jukwaani,

plz just relax and calm down tunapojadiliana mambo haya 🐒
 
pata maelezo muafaka na ya kina zaidi kwenye ripoti ya Jaji chande gentleman na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela jukwaani kwa kutafuta kiki na public sympathy useless 🐒
Mmebaki kuficha vichwa vyenu kwenye takataka ya chande mkiita ripoti.

Mnafagia nyumba halafu mnaweka takataka chini ya zulia na kujitamba nyumba ni safi.

Subirini hukumu ya WaTanzania.
 
Wauaji wanafahamika, na ushetani walioufanya unafahamika Ulimwengu mzima. Tushirikiane kwa nguvu na uwezo wetu wote na Marekani, na Ulaya na kila anayesimama upande wa haki dhidi ya wauaji na watekaji. Wauaji na watekaji ni mashetani katika maumbile ya wanadamu, kamwe tusishikamane na mashetani, tukabeba laana zao.

Damu za watanzania waliouawa zinalilia haki, sawa na damu ta Abel. Mashetani yaliyoshiriki mauaji yatabakia yanatangatanga. Kuanzia miezi mitatu ijayo, yapo mashetani yatakayoiona Tanganyika ni chungu, yataona aheri yakaishi Burundi au Somalia.
 
Mmebaki kuficha vichwa vyenu kwenye takataka ya chande mkiita ripoti.

Mnafagia nyumba halafu mnaweka takataka chini ya zulia na kujitamba nyumba ni safi.

Subirini hukumu ya WaTanzania.
unadhani kuna atakae babaika na porojo zako na za wenzako 🤣
 
Gentleman, watu waliuwawa au hawakuuwawa?
Tusolve mambo yetu wenyewe kama matured men,kutegemea vibaraka that mean mwanaume gani hajiamini?, we are matured let solve this matter alone as free nation.
#Kutegemea sijui bwana yule aje akutatulie tatizo la nyumba yako hakuna tofauti na manaume *****!
 
Tusolve mambo yetu wenyewe kama matured men,kutegemea vibaraka that mean mwanaume gani hajiamini?, we are matured let solve this matter alone as free nation.
#Kutegemea sijui bwana yule aje akutatulie tatizo la nyumba yako hakuna tofauti na manaume *****!
Mawazo Yako na yaheshimiwe,ila pima upepo!
 
Back
Top Bottom