hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😀😀😀Naomba ufafnuzi wa hii sms polisi walituma mwezi October 2025
😀😀😀Naomba ufafnuzi wa hii sms polisi walituma mwezi October 2025
Google, Whatsapp Facebook internet yenyewe Instagram satellite vyote hivyo vya kwao so kwanini wasijue !?Hao jamaa nafahamu wanajua kila kinachoendelea hapa nyumbani, hasa kwenye masuala ya utekaji na mauaji.
Nikikumbuka ile issue ya Ben Saanane iliyopelekea Makonda kuzuiwa kuingia US, basi sina shaka na hao jamaa wanajua mengi, tena inawezekana wanajua hata yale ambayo sisi wa ndani hatuyajui!.
Sisi wakati mwingine tunaishi kwa hisia, wao wenzetu wanaishi kwa ushahidi.
So, sioni sababu za kushindana na propaganda za wale wabunge wa CCM kule bungeni, wale wanajifurahisha tu kama watoto wadogo, watulie wasubiri vikwazo.
Report ya jaji chande kwani iko hadharani? lini iliachiwa?pata maelezo muafaka na ya kina zaidi kwenye ripoti ya Jaji chande gentleman na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela jukwaani kwa kutafuta kiki na public sympathy useless 🐒