Hao jamaa nafahamu wanajua kila kinachoendelea hapa nyumbani, hasa kwenye masuala ya utekaji na mauaji.
Nikikumbuka ile issue ya Ben Saanane iliyopelekea Makonda kuzuiwa kuingia US, basi sina shaka na hao jamaa wanajua mengi, tena inawezekana wanajua hata yale ambayo sisi wa ndani hatuyajui!.
Sisi wakati mwingine tunaishi kwa hisia, wao wenzetu wanaishi kwa ushahidi.
So, sioni sababu za kushindana na propaganda za wale wabunge wa CCM kule bungeni, wale wanajifurahisha tu kama watoto wadogo, watulie wasubiri vikwazo.