Kumbe Hayati Magufuli ilibaki kidogo kumshtaki Karamagi mahakamani?

Karamagi na Lowasa ni watu ambao walikuwa hawakauki kwenye vinywa vya Chadema na Mwanahalisi ya Kubenea,ila mwisho siku (2015) ndio ni kajua siasa za bongo zimejaa njaa na unafiki mwingi.
 
Kwasababu hata yeye hakuwa msafi hivyo aliofia siku yake itafika na yeye angelipa kwa makosa aliyofanya huko nyuma.
 
Kwanini Yeye alivyouza Nyumba Za Serikali Na Nyingine Kuwagawia Wapenzi Wake Nani Alimshitaki?

hapo ungemuuliza rais wake yeye jpm alikuwa waziri tu anafuata amri ya mkuu wake ambae ndio rais.
 
kkwite mungu atamdil ,pwani ya mtwara kauza,bagamoyo kauza.katiba huenda ndo inayotufilisi na kututia umaskini .mtu anauza kila kitu akijua katiba inamlinda anakinga ya kutokuwajibishwa!!

naona na bandari ya mtwara kapewa dangote na yeye msoga ndie aliyemleta dangote kufungua kiwanda cha cement
 
Subiri tubadili katiba hata hangaya mwenyewe ipo siku tu atakuwa kwa pilato
Ila JPM si ndio alipinga vikali Katiba mpya ambayo ingewajibisha viongozi wote ikiwamo hata wastaafu?
Jpm si ndio alitunga sheria za kuwalinda wastaafu wengine kama spika na jaji mkuu?
 
Nyie ahangaikeni na mtu alietangulia mbele za haki, kuna siku hilo li nchi mtajashangaa rais J. Makamba.... maana mijitu mingi haijitambui huko. Na hili zero siku likiwa rais wa bongo ndio nitaacha kabisa kujitambulisha mie ni mbongo..
 
Karamagi na Lowasa ni watu ambao walikuwa hawakauki kwenye vinywa vya Chadema na Mwanahalisi ya Kubenea,ila mwisho siku (2015) ndio ni kajua siasa za bongo zimejaa njaa na unafiki mwingi.
Na lowassa kwenye kampeni za CCM ufisadi wake hauachwa kutajwa hata dakika, ila leo hii ndio hivyo tena
 
Na lowassa kwenye kampeni za CCM ufisadi wake hauachwa kutajwa hata dakika, ila leo hii ndio hivyo tena
Kwa ni sawa na kusema
A=Chadema wallikuwa wanasema ufisadi wa Lowasa kipindi yupo CCM
B=CCM walikuwa wanasema ufisadi wa Lowasa kipindi yupo huko CHADEMA (ambayo ilikuwa ndani ya ukawa.

So Mathematical
A=B
Hence
Chadema = CCM.
 
Wote sawa tu...hakuna wa kujiona bora
 
Kumbukeni gesi iliyopo Mtwara Tanzania si ya Watanzania.[emoji29][emoji29][emoji29][emoji2827]
Hv leteni hbr kamili inakuaje gesi hyo isiwe ya kwetu kivip sasa imeuzwaje uzwaje
Na Kuna ukweli
 
kkwite mungu atamdil ,pwani ya mtwara kauza,bagamoyo kauza.katiba huenda ndo inayotufilisi na kututia umaskini .mtu anauza kila kitu akijua katiba inamlinda anakinga ya kutokuwajibishwa!!
Kila aliepita ana pande mbili....woote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…