Mwadilifu Mdhulumiwa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2021
- 419
- 640
Kikwete hata akishitakiwa leo atapata watetezi kutoka dunia nzima ! Hii ni kwasababu pamoja na mapungufu yake hayo, hakula pekeake aligawia na wengine wengi tu ispokuwa wachache waliokuwa na mikosi yao! Ukitaka kuja hapa nazungumzia nini fatialia mambo yafuatayo wakati wa awamu ya Kikwete:-
1.Alimwaga ajira kila mwaka, hivyo kila mmoja aliyejibidiisha kusoma alionja matunda ya elimu yake
2.Waulize watumishi walioajiriwa mwaka 2006 wakati ambao Kikwete aliingia madarakani kuna watu walikuwa wanapokea mshahara 145,000, alipoondoka 2015 aliwaacha na mshahara wa 950,000 sawa na ongezeko la asilimia 656% !
3.Wapo waliotengeneza watumishi hewa na wote wakapandishwa hadi madaraja na kulipwa stahiki zao zote
4.Waafunzi mikopo ya elimu ya juu walilipwa hadi wanafunzi hewa!
5.Kuna wizara na taasisi nyingi tu zilianzishwa na watz wengi wakaajiriwa na kukwaa vyeo
6. Hata wapinzani aliwaachia majimbo mengi tu kwa vyama vyote
Kwa ufupi hakuwa mbinafsi sana keki ya Taifa alikula na wengi isipokuwa kila mmoja alikula kulingana na urefu wa kamba yake!