View: https://youtu.be/3F8yBt6lrOY?si=stTHOPf0ioqfr114
Huyu dada ndio mtu pekee anaweza kuziba pengo la Halima Mdee pale BAWACHA.
CHADEMA itumieni vizuri hii tunu mliyopewa na Mungu, Dada anaujasiri kama wa Simba na amenyooka kama Lissu
Tofauti ya Mdee na Simba ni majina tu hakika CHADEMA inahazina kubwa.