Kumbe hii Simba jike ya CHADEMA ni Simba kweli kweli, Pengo la Halima Mdee sasa limepata mzibaji

Kumbe hii Simba jike ya CHADEMA ni Simba kweli kweli, Pengo la Halima Mdee sasa limepata mzibaji

➡️➡️➡️ Kwani Halima alishahama CHADEMA mpaka aache "pengo"? 😳

Screenshot_20250105_081340_Instagram.jpg
 

View: https://youtu.be/3F8yBt6lrOY?si=stTHOPf0ioqfr114

Huyu dada ndio mtu pekee anaweza kuziba pengo la Halima Mdee pale BAWACHA.

CHADEMA itumieni vizuri hii tunu mliyopewa na Mungu, Dada anaujasiri kama wa Simba na amenyooka kama Lissu

Tofauti ya Mdee na Simba ni majina tu hakika CHADEMA inahazina kubwa.

Unfortunately chama alicho hajitambui umuhimu na nafasi ya mwanamke na ndio maana watu kama.kina Heche wanawabeza.

Mtu anambeza Rais anawezaje kumheshimu na kutambua mchango wa wanawake?
 
Back
Top Bottom