Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sijawahi kuwa YangaToka lini Yanga mkamfundisha simba lakufanya!!?? Makundi tushafuzu mara ngapi!!?? Robo fainali ngapi!!?? Timu kubwa ngapi tushazipiga!??
Unajielewa kweli we lissu
watu mna siri sana ! kumbe yote haya mnayajua ila mmenyamaza !Waliwafunga 6 wakiwa wamepigwa corona nusu kikosi.....
Mechi ya marudiano nadhani Namungo alikaa tatu hapa hapa bongo.
Wamecheza nusu fainali 2018 sio wazembe. ..
Namungo,huyu Usimtaje kbs. Kule CAF anazo pointi nyingi kuliko sisi Yanga...!Ushahidi huu hapa
View attachment 2382093
Sina lengo la kupuuza ushindi wa Simba ila nimeweka tu angalizo , tusije tukafikiri kuingia makundi ndio tumemaliza , kumbe njia tuliyopita ni mdebwedo tu .
Hata al hilal alikufa 4 kwa mkapa, nyie vyura mmeshindwa kumfunga.......Subirini tar 23 kumfunga simba ndo malengo yenu ya mwakawatu mna siri sana ! kumbe yote haya mnayajua ila mmenyamaza !
Mazingira tofauti kipindi kile ushindi huo ulichangiwa na vitu vingi
Kwanza Namungo alipata zari kama lililomkuta Yanga kwa Zalan kucheza mechi zote Tanzania....
Siyo kila anayefichua siri ni churaHata al hilal alikufa 4 kwa mkapa, nyie vyura mmeshindwa kumfunga.......Subirini tar 23 kumfunga simba ndo malengo yenu ya mwaka
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ni kweli walipigwa 6 ila kumbuka wachezaji wao tegemezi wengi walikutwa na covid na pia kumbuka michezo yote miwili ilichezewa Chamanzi complex na mechi ya pili Namungo alipasuliwaUshahidi huu hapa.
View attachment 2382093
Sina lengo la kupuuza ushindi wa Simba ila nimeweka tu angalizo, tusije tukafikiri kuingia makundi ndiyo tumemaliza, kumbe njia tuliyopita ni mdebwedo tu.
Mabigwa wa ligi nchi gani? Maana bigwa wa Angola ni Petro Luanda.Mazingira tofauti kipindi kile ushindi huo ulichangiwa na vitu vingi
Kwanza Namungo alipata zari kama lililomkuta Yanga kwa Zalan kucheza mechi zote Tanzania
Pamoja na hayo yote bado Namungo alifanya figisu za kuwatoa wachezaji muhimu na tegemezi zaidi ya watano wa Agosto kwa kigezo cha Corona
Hawa ndio mabingwa wa ligi yao ambayo ni kubwa kuliko yetu, ukiachana na hiyo kumbuka katika mechi 7 za mwisho hawajapoteza
Kama mnawaona hawa ni vibonde basi subirieni waangukie Confederation halafu na nyie mkakutane nao mtaona kama mtapata mseleleko
hiyo team kufngwa na namungo bao sita haitsaidia team nyngne kuvuka hatua zilizop cha umuhm kupambana tu bcUshahidi huu hapa.
View attachment 2382093
Sina lengo la kupuuza ushindi wa Simba ila nimeweka tu angalizo, tusije tukafikiri kuingia makundi ndiyo tumemaliza, kumbe njia tuliyopita ni mdebwedo tu.
Kwahiyo hata hilo hukuwa unalijua?Weka ushahidi kama hao ndio mabingwa wa ligi yao