Hizi sababu huwa hazitambuliki kwenye mpira. Timu inasajili wachezaji zaidi ya 20! Wanaocheza ni 11! Wakikosekana wachezaji 8, wengine wanacheza.Wachezaji wao nane hawakucheza hiyo mechi. Walionekana wana Covidi+
Nyie endeleeni kubaki na takwimu.
Wekeni na ile ya Simba kupigwa 5 Congo na 5 Misri.
Hiyo ndio kazi yenu.
Hawa siyo mabingwa wa ligi yao last season, hapa lunyasi mwenzangu umebwandaMazingira tofauti kipindi kile ushindi huo ulichangiwa na vitu vingi
Kwanza Namungo alipata zari kama lililomkuta Yanga kwa Zalan kucheza mechi zote Tanzania
Pamoja na hayo yote bado Namungo alifanya figisu za kuwatoa wachezaji muhimu na tegemezi zaidi ya watano wa Agosto kwa kigezo cha Corona
Hawa ndio mabingwa wa ligi yao ambayo ni kubwa kuliko yetu, ukiachana na hiyo kumbuka katika mechi 7 za mwisho hawajapoteza
Kama mnawaona hawa ni vibonde basi subirieni waangukie Confederation halafu na nyie mkakutane nao mtaona kama mtapata mseleleko
Huyo hakujui kuwa ni Simba damu! Ila kwa andiko hili nakuona ukomavu wako unlike OKW BOBAN SUNZU na mtu kama GENTAMYCINESijawahi kuwa Yanga
Ila sababu za wao kufungwa na Simba kwa sababu ya kufungwa 6 na Namungo zinatambulika?Hizi sababu huwa hazitambuliki kwenye mpira. Timu inasajili wachezaji zaidi ya 20! Wanaocheza ni 11! Wakikosekana wachezaji 8, wengine wanacheza.
Vipi kama wangeshinda? Je, hii sababu ingekuwa bado na mashiko?
Wewe wasema.Ila sababu za wao kufungwa na Simba kwa sababu ya kufungwa 6 na Namungo zinatambulika?
Uwe una kumbukumbu,mlipopigwa nje ndani mlitoa sababu ya kukosekana akina Mayele.Hizi sababu huwa hazitambuliki kwenye mpira. Timu inasajili wachezaji zaidi ya 20! Wanaocheza ni 11! Wakikosekana wachezaji 8, wengine wanacheza.
Vipi kama wangeshinda? Je, hii sababu ingekuwa bado na mashiko?
Hawataki kusema kama Al Hilal ilikufa 4 kwa Simba, ambao Uto wao walikata pumzi.Hiyo timu mnaiona nyepesi kwasababu imecheza na Simba SC, Simba wanajua wanawafanya wasiojua sana waonekane hawajui, sasa kachezeni nao nyie halafu mje hapa na matokeo.
Mwisho wa siku ukweli unabaki pale pale. Siyo sababu yenye mashiko.Uwe una kumbukumbu,mlipopigwa nje ndani mlitoa sababu ya kukosekana akina Mayele.
au umejisahaulishaUshahidi huu hapa.
View attachment 2382093
Sina lengo la kupuuza ushindi wa Simba ila nimeweka tu angalizo, tusije tukafikiri kuingia makundi ndiyo tumemaliza, kumbe njia tuliyopita ni mdebwedo tu.
Mabingwa wa ligi ipi nyie mashabiki wa simba mbona hamnazo sana aisee, unamjua bingwa wa Angola wewe au ndo madish yenu yameyumba, bingwa wa angola ni Petro de luanda kachukua ubingwa akiwa na point 75 akifuatiwa na mshindi wa 2 de agosto aliyekuwa na point 61 sasa huo ubingwa walioubeba de agosto wewe ndio uliwapa? Mbona mnajitoa sana ufahamu kuongea vitu msivyovijuaMazingira tofauti kipindi kile ushindi huo ulichangiwa na vitu vingi
Kwanza Namungo alipata zari kama lililomkuta Yanga kwa Zalan kucheza mechi zote Tanzania
Pamoja na hayo yote bado Namungo alifanya figisu za kuwatoa wachezaji muhimu na tegemezi zaidi ya watano wa Agosto kwa kigezo cha Corona
Hawa ndio mabingwa wa ligi yao ambayo ni kubwa kuliko yetu, ukiachana na hiyo kumbuka katika mechi 7 za mwisho hawajapoteza
Kama mnawaona hawa ni vibonde basi subirieni waangukie Confederation halafu na nyie mkakutane nao mtaona kama mtapata mseleleko
Hata Yanga mabingwa wa nchi hii na mechi 41 sijui hawajapoteza kwa hiyo unataka kusema Yanga ni bora kuliko Simba? sijaelewa kidogo mimi hizi team za kijeshi sizipi thamani sana hazina washabiki wala ukubwa nadhani jambo zuri Simba wapite kipimo ni huko mbele kwenye makundi ila naamini Simba wanaweza kufanya vizuri na tukumbuke Yanga hajatoka bado anaweza kwenda akafanya kitu pia maana hana cha kupoteza kule ni kwenda kutafuta ushindi tu au draw ya magoal linawezekana na kama hili haliwezekani basi hawastahili kuwepo kwenye mashindano haya.Mazingira tofauti kipindi kile ushindi huo ulichangiwa na vitu vingi
Kwanza Namungo alipata zari kama lililomkuta Yanga kwa Zalan kucheza mechi zote Tanzania
Pamoja na hayo yote bado Namungo alifanya figisu za kuwatoa wachezaji muhimu na tegemezi zaidi ya watano wa Agosto kwa kigezo cha Corona
Hawa ndio mabingwa wa ligi yao ambayo ni kubwa kuliko yetu, ukiachana na hiyo kumbuka katika mechi 7 za mwisho hawajapoteza
Kama mnawaona hawa ni vibonde basi subirieni waangukie Confederation halafu na nyie mkakutane nao mtaona kama mtapata mseleleko
Kwahiyo hata hilo hukuwa unalijua?
Unaizungumzia De Agosto iliyofanyiwa figisu kwa wachezaji wake tegemezi zaidi ya 8 wa kikosi cha kwanza kuambiwa kuwa wana Corona.Ushahidi huu hapa.
View attachment 2382093
Sina lengo la kupuuza ushindi wa Simba ila nimeweka tu angalizo, tusije tukafikiri kuingia makundi ndiyo tumemaliza, kumbe njia tuliyopita ni mdebwedo tu.
[emoji38][emoji38][emoji38]Kufupisha maelezo semeni tu Juma Mgunda ni Freemason