Kumbe hivi sasa Wanaotudai Waafrika hawakamati tena Ndege zetu, bali wanakamata Viongozi hadi Madeni yalipwe?

Kumbe hivi sasa Wanaotudai Waafrika hawakamati tena Ndege zetu, bali wanakamata Viongozi hadi Madeni yalipwe?

Status
Not open for further replies.
Wazungu wamelipwa chao ( Deni ) na Mwafrika mwenzetu kaachiwa na sasa kwa Madeni yao yajayo Wanamvizia Mwafrika mwenzetu mwingine na wa safari hii atakuwa ni Muislamu na huyu nae kwakuwa ni Mbishi wa kulipa Madeni yao ila ni Mfujaji mzuri wa Fedha zao hawatomshikilia kwa Siku 30 kama Mwenzake Mkristo badala yake wanaweza wakakaa nae hata kwa Siku 90 hivi.
Huyo wa pili nae ni nani?! Mstaafu au bado yupo ofisini?!
 
Mkuu, unamanisha

Kabakia namba one,Nelson de jesus silva (DIDA)

Mana ,namba 2 wake , marcos evangelista de morais (CaFu) ,tayari kaachiwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom