Jitahidi kuficha ulimbukeni wako kuliko kujenga hoja zisizo na mashiko.Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!
Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!
Lazima umewahi kuugua ugonjwa wa akili.Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!
Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!
Shukrani mkuuMaraga alikua anaishi kisumu akiwa bado hakimu wa mahakama kuu ya kisumu ,kufwatia kuteuliwa kwake kama hakimu mkuu wa mahakama ya Kenya alihamia mtaa wa Karen Nairobi.pili yeye ni mkisii kwao ni nyamira.raila ni luo maraga ni Bantu hawana uhusiano wowote.
Yaani you are a typical KIJIWENI man. Raila kaleta katiba Kenya, ni kwamba mapitio waliyopitia wakenya hadi kufikia katiba hii ya 2010 hukuwa unayaona au ulikuwa hujajua kusoma bado? Unafikiri kuna CCM kule? Wakenya wana akili ndugu.Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!
Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!
Maraga ni Mkisii kama MatiangiSasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!
Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!
Baba mgonjwa watoto waponaje?Lazima umewahi kuugua ugonjwa wa akili.
Jaji Maraga ni Mkisii toka Nyamila county wakati Baba Odinga ni Mjaluo toka Kisumu county. Hawa watu siyo kabila moja, na zaidi ya hapo mmoja ni Nilotic na mmoja na Bantu. Unaona tofauti hiyo???Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!
Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!
Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!