Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!
Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!