Kumbe Jaji Mkuu Maraga anaishi Kisumu?

Kumbe Jaji Mkuu Maraga anaishi Kisumu?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!

Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!
 
We ni mjinga sana katiba haiwezi ikaletwa na mtu mmoja, lazina kuwe na washikadau wote,, ndio kuwe na katiba mpya lazima kuwa na committee of expert ambayo ina comprise mawakili mashuhuri ,lazima kuwe na draft team then Parliament halafu wananchi wahusishwe ,wafunzwe umuhimu wa katiba mpya na ile ambayo wanaiondoa hayo mambo yote hayawezi yakafanywa na mtu mmoja.
 
Maraga alikua anaishi kisumu akiwa bado hakimu wa mahakama kuu ya kisumu ,kufwatia kuteuliwa kwake kama hakimu mkuu wa mahakama ya Kenya alihamia mtaa wa Karen Nairobi.pili yeye ni mkisii kwao ni nyamira.raila ni luo maraga ni Bantu hawana uhusiano wowote.
 
Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!

Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!
Jitahidi kuficha ulimbukeni wako kuliko kujenga hoja zisizo na mashiko.
 
Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!

Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!
Lazima umewahi kuugua ugonjwa wa akili.
 
Fanyeni kila linalowezekana lakini chonde chonde msipigane jamani maana hapa jirani zenu tumeyumba kiuchumi Msije mkatuona hatuwajali hapana.
 
Maraga alikua anaishi kisumu akiwa bado hakimu wa mahakama kuu ya kisumu ,kufwatia kuteuliwa kwake kama hakimu mkuu wa mahakama ya Kenya alihamia mtaa wa Karen Nairobi.pili yeye ni mkisii kwao ni nyamira.raila ni luo maraga ni Bantu hawana uhusiano wowote.
Shukrani mkuu
Umejibu swali nililokua najiuliza kipindi kirefu.
 
Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!

Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!
Yaani you are a typical KIJIWENI man. Raila kaleta katiba Kenya, ni kwamba mapitio waliyopitia wakenya hadi kufikia katiba hii ya 2010 hukuwa unayaona au ulikuwa hujajua kusoma bado? Unafikiri kuna CCM kule? Wakenya wana akili ndugu.
 
Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!

Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!
Maraga ni Mkisii kama Matiangi
 
Bahati nzuri proceedings za ile case zilirushwa live muda mwingi na watu kupata nafasi ya kuona kilichojiri. Lawyers wa IEBC/Kenyatta walielemewa mno kwa hoja na haikushangaza kina Maraga kutoka na ile verdict. Hii ya sasa kuhusisha ukabila na maamuzi ya Mahakama ni ulofa tu.
 
Sasa nimeweza kuunganisha dots, kumbe huyu Maraga ni mtu wa Kisumu, huko Kisumu ndiko Raila Amolo Odinga anakotoka, kweli kwenye Siasa hkn jambo linalotokea kwa bahati mbaya!

Kama Raila Odinga akishindwa kuwa Raisi wa Kenya basi kweli nitaamini kwamba ule msemo wetu kwamba ,,kama haipo, haipo tu" kwani hakuna mtu amewahi kujiaanda kwa Uraisi Dunia hii kama yeye, kwanza nasikia hata Katiba ni yeye alileta ili imuingize Uraisini, Duh!
Jaji Maraga ni Mkisii toka Nyamila county wakati Baba Odinga ni Mjaluo toka Kisumu county. Hawa watu siyo kabila moja, na zaidi ya hapo mmoja ni Nilotic na mmoja na Bantu. Unaona tofauti hiyo???
 
Au ulidhani ametokea Kolominje maana nyie watu wa Kolominje naskia mumeanza kuleta ukabila Bongo.
 
Alikuwa posted kisumu kama magistrate

Akapostiwa nakuru kama jaji wa high court

Alafu aka postiwa Nairobi kama jaji

Kisha akaapishwa kuwa jaji mkuu
 
Kwahiyo??!!! Ulitaka aishi Tandale kwa Tumbo

Back
Top Bottom