figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Sikio la KUFA..kila kitu VuluvuluPolisi na jeshi wamemua kufanya mgomo baridi. Kauli ya Mafwele na Muliro zilikuwa za kukera mno.
kapichaMuliro mwenyewe kajificha hajulikani alipo
Nyumba yake ya Kimara anayoishi mke wake mkubwa watu tumeshaisalimia
kapicha
Wale wahuni wenye sare nyeusi wameshaacha kumimina mvua za risasi?Muliro mwenyewe kajificha hajulikani alipo
Nyumba yake ya Kimara anayoishi mke wake mkubwa watu tumeshaisalimia
Wamekimbia. Saivi tupo na Jeshi la WananchiWale wahuni wenye sare nyeusi wameshaacha kumimina mvua za risasi?
Safi mkuu..Ni nginjanginja mpaka wahuni wanyooshe mikono.Wamekimbia. Saivi tupo na Jeshi la Wananchi
InawezekanaPolisi na jeshi wamemua kufanya mgomo baridi. Kauli ya Mafwele na Muliro zilikuwa za kukera mno.
Mkuu Ali Kibao na wengine hatimaye watapata haki.Hakuna nywa Wala nywi nywii na Hali gani
watanganyika wanadai chaoHakuna nywa Wala nywi nywii na Hali gani
Walishtukia kuwa wapo targeted, wanabahati sana ,sijui ni nani aliyewatonyaWale wahuni wenye sare nyeusi wameshaacha kumimina mvua za risasi?
Kimsingi, Jeshi la police halina uwezo wa kupambana na raia wema. Lina uwezo wa kupambana na wahalifu ambao kwa kawaida ni wachache.Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana.
Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa na Samia.
Ntajitahidi nipate maelezo yake ni nini kimetokea? Katia aibu jeshi🤣🤣
View attachment 3496106