Kumbe Juma Jux kimaisha kamzidi Diamond Platnumz?

Kuna jamaa alimwambia mwenzake kwamba napenda sana THREE PIECE!!

Jamaa ya yake kwa kutokujua three piece ni nini ye akarukia tuu!

Mi nazipenda sana hasa zikiungwa na nazi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juksi pesa alikua nayo nzuri tu kwanza wazazi wake wako vizuri sana kiuchumi...Pia jukusi kumbuka ni degree holder tena Elimu ya China so ukiachana na mziki kuna mishe anafanya tena nje plus na biashara kadhaa unapozungumzia juksi kiuchumi ni kama Davido both wazazi wao wako vizuri tofauti na kina sadala na mayonaizi walioanzia zero
 
Hahahaha!!! Eti jux wazazi wake kama Davido bora ufute hii post post yako unawafananisha wazazi wake jux na Davido ata mwenyewe angekusikia angekukana...
 
jielewe wewe Jux ni sawa na Davido? Hahaha 😂
 
Hahahaha!!! Eti jux wazazi wake kama Davido bora ufute hii post post yako unawafananisha wazazi wake jux na Davido ata mwenyewe angekusikia angekukana...
Ukitulia ukasoma vizur utamuelewa jamaa anamaanisha Jux kwao tangu amezaliwa haijui njaa tofaut na wakina diamond

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hajui analosema, huyo jux tumemlea sana pale Tongwe record na mwenzake shetta wamekula ubwabwa kwenye magazeti na fid q sana sema cha msingi kila mtu apate mkate wake.
 
vijana wa instagram mme kalili maisha
we dogo kutwa kufatilia maisha ya diamond wakati ww bado una ishi kwa shemeji yako na bando za kudandia kwa dada yako una kuja kumponda diamond hapa
ifike wakati na ninyi muanze kutafuta mali zenu na kujiweka busy kufanya yanayo wahusu na sio kufatilia ya watu mjini hapa ukilemaa utapigwa pipe
 
Juksi pesa alikua nayo nzuri tu kwanza wazazi wake wako vizuri sana kiuchumi...Pia jukusi kumbuka ni degree holder tena Elimu ya China so ukiachana na mziki kuna mishe anafanya tena nje plus na biashara kadhaa unapozungumzia juksi kiuchumi ni kama Davido both wazazi wao wako vizuri tofauti na kina sadala na mayonaizi walioanzia zero
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani hii post imefanya nitapike chai, kwa kucheka lol
 
Back
Top Bottom