Kumbe Juma Jux kimaisha kamzidi Diamond Platnumz?

Huyo Jux hamjaomba hati angekuwa Diamond mngeomba aweke hati ya nyumba na kadi ya gari.TCRA wenyewe wanakwambia Diamond Wasafi Media ana miliki 45%,watu bado wanabisha. Kanunua Cadilac ya kwanza mkasema ya Yusuph Bakheresa kamuuzia, wakati Yusuph ana miliki garage ya kupimp magari, kanunua Cadilac ya pili mnaponda Uber Marekani.

Sometimes inabidi tufanye bother Sadala hana kitu ili kuwarizisha haters ila ukweli mioyoni mnaujua.

Kua na share hizo wasafi media ndo sababu inayomfanya awe tajiri? Tangu lini wasafi media ikawa tajiri..ile ni media mpya sana bado inajikongoja..ukisema utajiri wa diamond kwa sasa ondoa kitu kinachoitwa wasafi media..
 
Sawa tumekuelewa Romy Jons
 
Kua na share hizo wasafi media ndo sababu inayomfanya awe tajiri? Tangu lini wasafi media ikawa tajiri..ile ni media mpya sana bado inajikongoja..ukisema utajiri wa diamond kwa sasa ondoa kitu kinachoitwa wasafi media..
Ndio kuwa na share kuna mfanya kuwa tajiri na sehemu ya mmiliki wa Wasafi.

Inajikongoja umeipima kwa nini?

Ukipigia utajiri wa Diamond Wasafi media lazima iwepo sababu hata Dangote akipigiwa mahesabu yake ya jumla ya mali alizokuwa nazo basi jua kiwanda cha Mtwara kipo.
 
7 series BMW boss.
Kuna jamaa alimwambia mwenzake kwamba napenda sana THREE PIECE!!

Jamaa ya yake kwa kutokujua three piece ni nini ye akarukia tuu!

Mi nazipenda sana hasa zikiungwa na nazi...
 
Huyo Jux hamjaomba hati angekuwa Diamond mngeomba aweke hati ya nyumba na kadi ya gari.TCRA wenyewe wanakwambia Diamond Wasafi Media ana miliki 45%,watu bado wanabisha. Kanunua Cadilac ya kwanza mkasema ya Yusuph Bakheresa kamuuzia, wakati Yusuph ana miliki garage ya kupimp magari, kanunua Cadilac ya pili mnaponda Uber Marekani.

Sometimes inabidi tufanye bother Sadala hana kitu ili kuwarizisha haters ila ukweli mioyoni mnaujua.
Daah umeumia sana mdau maana si kwa coment hii
 
Huyo Jux hamjaomba hati angekuwa Diamond mngeomba aweke hati ya nyumba na kadi ya gari.TCRA wenyewe wanakwambia Diamond Wasafi Media ana miliki 45%,watu bado wanabisha. Kanunua Cadilac ya kwanza mkasema ya Yusuph Bakheresa kamuuzia, wakati Yusuph ana miliki garage ya kupimp magari, kanunua Cadilac ya pili mnaponda Uber Marekani.

Sometimes inabidi tufanye bother Sadala hana kitu ili kuwarizisha haters ila ukweli mioyoni mnaujua.

Wasanii wanamiliki MJINGO na MANDINGA instagram na facebook ila mtaani hauwaoni na hayo mandinga wala hawakai kwenye hiyo MIJENGO bali wamepanga.
 
Source ya habar kutoka TCRA iko wap au ndio mtandale anaiendeleza utandale wake
Basi kaangalie shares za kampuni BRELA imepostiwa huko insta uone shares

Afu hater mko selective sana mkiona kitu kinaangukia pabaya hamkipi publicity...
 
Izi picha tu mkuu au nikutengenezee na mimi namiliki hisa 90% wasaf?
Umetaka ushahidi umepewa unaanza kuuliza kama ametengeneza

We jamaa the hell is with you
Did you want the guy aje na BRELA na kadi waishove hapo behind ndo uelewe au???

The heck is wrong with you ....hujui hata unachotaka unahangaika
 
Unavyotetea...Hv anakupaga nn??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wako kazini wenzako,wanepewa PC na simu bando wanawekewa kazi yao ni KUMSIFIA TU Diamond,
 
Huyu dogo kaanza kupambana mda sana kunikipindi alikuwa ataka kuniuzia silaha yeye na mwenzake shetta ni vizuri kuona wamefanikiwa kwa namna yoyote. Wasiwasi wangu ni kwenye kutoa maelezo ya sources za hizo mali.
Kama alitaka kukuuzia SILAHA basi jua huyu dogo magendo mengi sana.

Watu kama hawa serikali inakata inawataka walete source ya mafanikio tuone balance sheet zinasomaje
 
Back
Top Bottom