Kumbe Juma Jux kimaisha kamzidi Diamond Platnumz?

Kumbe Juma Jux kimaisha kamzidi Diamond Platnumz?

Sasa hii mbona ni nyumba ya kawaida!
Na BMW hizi,zakawaida sana,
Mi nilitegemea Kuna vogue hapo,harafu huyu ametoa ajira kiasi gani,analipa Kodi kiasi gani,PAYE kiasi gani?
Mie shughuri zangu ni kilimo,na ninamiriki mjengo zaidi ya huu,
Na nje nimepaki V8,na cruizer mkonga!
Weka nyumba yako na gari zako hapa[emoji41]
 
Kwa sababu hajawai kuuongopea uma na hana shutuma za uongo uongo naamini kua mali ni zake,.

Ila kwa Sadala ni lazima wakimwengu waombe uthibitisho, yero masai ni muongo muongo sana mzee wa kik
Sawa.
Jux ana mkwanja kumzidi Sadala.
 
Hongera zake endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...

Ila navyofahamu hayo ni mambo ya Huddah...
 
Sasa hii mbona ni nyumba ya kawaida!
Na BMW hizi,zakawaida sana,
Mi nilitegemea Kuna vogue hapo,harafu huyu ametoa ajira kiasi gani,analipa Kodi kiasi gani,PAYE kiasi gani?
Mie shughuri zangu ni kilimo,na ninamiriki mjengo zaidi ya huu,
Na nje nimepaki V8,na cruizer mkonga!
Una miriki mjengo?
 
Mke wa Kusaga ana hisa ngapi pale WCB?

Joseph Kusaga naye vipi hapo WCB?

Juma "Jux" anaishi maisha halisi.
 
View attachment 1834572

Juma Jux kwenye ukurasa wake wa instagram katupia picha ya mjengo wake pamoja na ndinga zake ikiwemo Mercedes Benz mpya na bmw.

Kwa mtizamo wangu naona jux ana maisha mazuri kuliko msanii yeyote Bongo akiwemo mondi na kiba. Mondi anatumia toyota na kiba anatumia x5 la kizamani.

View attachment 1834573
Hivi wewe unamjua Diamond au unamsikia kwenye simu ya torch?
Lakini muhimu zaidi, Usijihangaishe kufuatilia maisha ya watu hasa hawa wanaojiita ma celebrate
Wana mambo mengi ya kujibrand wewe unadakia kuwa ni utajiri wa muhusika
 
Huyo Jux hamjaomba hati angekuwa Diamond mngeomba aweke hati ya nyumba na kadi ya gari.TCRA wenyewe wanakwambia Diamond Wasafi Media ana miliki 45%,watu bado wanabisha. Kanunua Cadilac ya kwanza mkasema ya Yusuph Bakheresa kamuuzia, wakati Yusuph ana miliki garage ya kupimp magari, kanunua Cadilac ya pili mnaponda Uber Marekani.

Sometimes inabidi tufanye bother Sadala hana kitu ili kuwarizisha haters ila ukweli mioyoni mnaujua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km unaumia iv
 
Ukiona unaombwa uthibitisho wa kitu jua watu hawakuamini yani unaishi kiuongo uongo ndo maana unakua uhaminiki,.

Jux hajaombwa hivyo kwa sababu anaishi maisha yake harisi si ya uongo uongo

Tulieni dawa iwaingie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah
 
Back
Top Bottom