barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Jux bado anapewa hela ya kununua boxer (chupi) na wazazi wake, bado sana huyo...View attachment 1834572
Juma jux kwenye ukurasa wake wa instagram katupia picha ya mjengo wake pamoja na ndinga zake ikiwemo Mercedes Benz mpya na bmw.
Kwa mtizamo wangu naona jux ana maisha mazuri kuliko msanii yeyote bongo akiwemo mondi na kiba. Mondi anatumia toyota na kiba anatumia x5 la kizamani.
View attachment 1834573