Kichwa cha uzi kingesomeka "Kumbe Kenya asili mia ya masikini kubwa zaidi kuliko Tanzania."
Kwa hiyo tz tunagawana umaskini hadi tunakaribiana. HaaHizo takwimu sizo labda za tbccm,huwezi linganisha ubepari na ujamaa ni sawa na pikipiki na baiskeli,wakenya huwezi linganisha na maiti zinazotembea
Hizo tafiti za Twaweza huwa wanachukua sampuli za UfipaJiwe kisha anza kujifagilia kwa takwimu fake. Waruhusuni TWAWEZA wafanye utafiti muone kama hawajapata 92% ya watanzania wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
Kwa hiyo tz tunagawana umaskini hadi tunakaribiana. Haa
Wewe sisi tunanunua ndege, tunajenga flyover bila mkopo wa nani wala wa mjukuu wa nani?Wangine wanazania kuleta upupu kama huu wanasaidia taifa na ndio uzalendo. Tukubali tukatae Kenya wako mbali kiuchumi hata bajeti yao angalia wanategemea wahisani kwa asilimia ngapi kama sisi.
MusibaUtafiti huu umefanywa na nani?
Kwani ulaya au uarabuni USA wote wana miliki ardhi,umasikini Kwa chanzo cha kuingiza Pesa,ardhi kama uitumii kuzalishia sababu ya kukosa maarifa ya jinsi ya kutumia ardhi ni bureHakuna haja ya kubishana nchi ipi ina maskini zaidi kati ya Tanzania na Kenya. Maskini wa Tanzania wanamiliki ardhi na maskini wa Kenya hawana ardhi. Leo hii ikiruhusiwa wanachama wa EA kuishi na kumiliki ardhi sehemu yoyote Tanzania itajaa watu kutoka nchi zote za Afrika mashariki. Maskini wa Tanzania ni tajiri wa Kenya tembeeni mujionee wenyewe.
Wangine wanazania kuleta upupu kama huu wanasaidia taifa na ndio uzalendo. Tukubali tukatae Kenya wako mbali kiuchumi hata bajeti yao angalia wanategemea wahisani kwa asilimia ngapi kama sisi.
Bila shaka huyu ni ccmKenya: Watu wanao ishi chini ya mstari wa umaskini: 42%
Tanzania: Watu qanao ishi chini ya mstari wa umaskini : 24%
Sasa wajamaa si ndio wanataka kuchukua bandari yao au uelewa wako ni finyu sana kujua tofauti?Hizo takwimu sizo labda za tbccm,huwezi linganisha ubepari na ujamaa ni sawa na pikipiki na baiskeli,wakenya huwezi linganisha na maiti zinazotembea
Sasa wajamaa si ndio wanataka kuchukua bandari yao au uelewa wako ni finyu sana kujua tofauti?
Haya twaweza hao nyumbuJiwe kisha anza kujifagilia kwa takwimu fake. Waruhusuni TWAWEZA wafanye utafiti muone kama hawajapata 92% ya watanzania wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
We jamaa kweli kiazi sasa China si ndio main financier wa miradi mingi Africa? China inaikopesha mpaka USAFake news
We jamaa kweli kiazi sasa China si ndio main financier wa miradi mingi Africa? China inaikopesha mpaka USA
Ni ujinga wa kiwango cha lami kujifanya umetembea Kenya wakati hata Tanzania yenyewe huijui. Kwa kipi hasa kilichopo Tanzania hadi useme umaskini siyo mkubwa? Tembea kwanza Tanzania ndipo utoe matapish yako tena.Sasa unachobisha ni nini kaka,nadhani hata Kenya yenyewe umeishia kuijua kwenye Atlas,tembea uone ndio utajua wapi kuna umasikini zaidi kati ya Tanzania na Kenya ,kwanza achana na hizo takwimu nenda tu katembee ndio ujje hapa uanze ubavicha wako
Basi watakuja Lumumba ili ufurahiHizo tafiti za Twaweza huwa wanachukua sampuli za Ufipa
Ukitaka kupinga takwimu toa takwimu sahihi.huwez pinga takwimu bira kutoa takwimu.Hivi umeleta taarifa hii hapa kwa minajili gani na hasa ikiwa ni taarifa ya kupotosha kabisa!
Inaonekana taarifa yenyewe inaungwa mkono na 'moderator' kwa kufuta maoni yanayorekebisha uongo huu. Kuweka uongo kama huu hakuwezi kuifanya Tanzania iwe bora zaidi ya nchi nyingine.
La kushangaza ni kwamba hata namba zilizowekwa haionyeshwi zimetoka wapi!
Moderator uliyefuta mchango wangu hukutenda haki hata kidogo. Hii ni mara ya pili kufanyiwa hivi. Nitakata rufaa ukiendelea kuninyima haki ya kuwasilisha maoni yangu bila ya sababu inayoeleweka. Unapofuta mchango wa mtu aleza sababu aelewe. Huwezi kufuta tu na kukaa kimya maadam tu wewe hukupenda yaliyoandikwa.
Tufungwe midomo kule, na huku pia mnataka kutuziba tusiseme yaliyo ya kweli?