Kumbe Kenya ni maskini zaidi kuliko Tanzania

Kumbe Kenya ni maskini zaidi kuliko Tanzania

Kichwa cha uzi kingesomeka "Kumbe Kenya asili mia ya masikini kubwa zaidi kuliko Tanzania."
Hizo takwimu sizo labda za tbccm,huwezi linganisha ubepari na ujamaa ni sawa na pikipiki na baiskeli,wakenya huwezi linganisha na maiti zinazotembea
Kwa hiyo tz tunagawana umaskini hadi tunakaribiana. Haa
 
Huwezi linganisha sehemu ambapo tajiri anachukiwa ambapo kuwa masikini ndio uzalendo, sasa ya makuzi yetu tangu awamu ya kwanza tumelelewa kuwa ubepari ujasiliamali kuwa ni wizi bali umasikini ndio uzalendo
Kwa hiyo tz tunagawana umaskini hadi tunakaribiana. Haa
 
Wangine wanazania kuleta upupu kama huu wanasaidia taifa na ndio uzalendo. Tukubali tukatae Kenya wako mbali kiuchumi hata bajeti yao angalia wanategemea wahisani kwa asilimia ngapi kama sisi.
 
Wangine wanazania kuleta upupu kama huu wanasaidia taifa na ndio uzalendo. Tukubali tukatae Kenya wako mbali kiuchumi hata bajeti yao angalia wanategemea wahisani kwa asilimia ngapi kama sisi.
Wewe sisi tunanunua ndege, tunajenga flyover bila mkopo wa nani wala wa mjukuu wa nani?
 
Hakuna haja ya kubishana nchi ipi ina maskini zaidi kati ya Tanzania na Kenya. Maskini wa Tanzania wanamiliki ardhi na maskini wa Kenya hawana ardhi. Leo hii ikiruhusiwa wanachama wa EA kuishi na kumiliki ardhi sehemu yoyote Tanzania itajaa watu kutoka nchi zote za Afrika mashariki. Maskini wa Tanzania ni tajiri wa Kenya tembeeni mujionee wenyewe.
 
Kwani ulaya au uarabuni USA wote wana miliki ardhi,umasikini Kwa chanzo cha kuingiza Pesa,ardhi kama uitumii kuzalishia sababu ya kukosa maarifa ya jinsi ya kutumia ardhi ni bure
 
Ni kidogo sana kama 10% hivo pia deni lao la taifa si kubwa kulinganisha na letu
Wangine wanazania kuleta upupu kama huu wanasaidia taifa na ndio uzalendo. Tukubali tukatae Kenya wako mbali kiuchumi hata bajeti yao angalia wanategemea wahisani kwa asilimia ngapi kama sisi.
 
Hizo takwimu sizo labda za tbccm,huwezi linganisha ubepari na ujamaa ni sawa na pikipiki na baiskeli,wakenya huwezi linganisha na maiti zinazotembea
Sasa wajamaa si ndio wanataka kuchukua bandari yao au uelewa wako ni finyu sana kujua tofauti?
 
Jiwe kisha anza kujifagilia kwa takwimu fake. Waruhusuni TWAWEZA wafanye utafiti muone kama hawajapata 92% ya watanzania wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
Haya twaweza hao nyumbu
IMG_20181023_183628.jpg
 
Sasa unachobisha ni nini kaka,nadhani hata Kenya yenyewe umeishia kuijua kwenye Atlas,tembea uone ndio utajua wapi kuna umasikini zaidi kati ya Tanzania na Kenya ,kwanza achana na hizo takwimu nenda tu katembee ndio ujje hapa uanze ubavicha wako
Ni ujinga wa kiwango cha lami kujifanya umetembea Kenya wakati hata Tanzania yenyewe huijui. Kwa kipi hasa kilichopo Tanzania hadi useme umaskini siyo mkubwa? Tembea kwanza Tanzania ndipo utoe matapish yako tena.
 
Hivi umeleta taarifa hii hapa kwa minajili gani na hasa ikiwa ni taarifa ya kupotosha kabisa!
Inaonekana taarifa yenyewe inaungwa mkono na 'moderator' kwa kufuta maoni yanayorekebisha uongo huu. Kuweka uongo kama huu hakuwezi kuifanya Tanzania iwe bora zaidi ya nchi nyingine.

La kushangaza ni kwamba hata namba zilizowekwa haionyeshwi zimetoka wapi!
Moderator uliyefuta mchango wangu hukutenda haki hata kidogo. Hii ni mara ya pili kufanyiwa hivi. Nitakata rufaa ukiendelea kuninyima haki ya kuwasilisha maoni yangu bila ya sababu inayoeleweka. Unapofuta mchango wa mtu aleza sababu aelewe. Huwezi kufuta tu na kukaa kimya maadam tu wewe hukupenda yaliyoandikwa.

Tufungwe midomo kule, na huku pia mnataka kutuziba tusiseme yaliyo ya kweli?
Ukitaka kupinga takwimu toa takwimu sahihi.huwez pinga takwimu bira kutoa takwimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom