pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Nchi nne, hapo awali shirika la E.A.A lilipokuwa linabuniwa Tanganyika na Zanzibar hazikuwa chini ya muungano mmoja. Sasa mlitegemea Kenya ipate hasara au, na huo umiliki wenu wa 9% tu, huku Kenya ikimiliki 67.7%, na pia deni kubwa ambalo Kenya ilikuwa inalidai shirika hilo? E.A.C tangu zamani ilikuwa ni njia ya kuinyonya Kenya. Yaani tutie bidii, kihali na kimali, alafu wavivu waje wavune eti.Ok. Sikumbuki inawezekana. Lakini bado ilikuwa kampuni ya nchi 3
Nchi nne, hapo awali shirika la E.A.A lilipokuwa linabuniwa Tanganyika na Zanzibar hazikuwa chini ya muungano mmoja. Sasa mlitegemea Kenya ipate hasara au, na huo umiliki wenu wa 9% tu, huku Kenya ikimiliki 67.7%, na pia deni kubwa ambalo Kenya ilikuwa inalidai shirika hilo? E.A.C tangu zamani ilikuwa ni njia ya kuinyonya Kenya. Yaani tutie bidii, kihali na kimali, alafu wavivu waje wavune eti.
Kwa lugha ya kiingereza unaitwaje huo ugonjwa!!!wengi wanauliza mbona mdomo wa jiwe hauna breki? au anaugua ugonjwa wa mnyika!?
Rais wako ni kichwa maji! amejaza tu mharo kichwani.
Kidogo utaskia huyo rais wako akisemaNimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari
Kweli kabisa. Kwenye muungano huo zaidi ya kibiashara wakenya hatuna la kufaidi. Itakuwa ni kuliwa tu, hata huo muungano wa E.A.C wa awali ulikuwa unaendelezwa kwa mgongo wa Kenya. Enzi hizo kwenye E.A Postal Services walikuwa wanaibuka na ratio za ajabu, eti wakijenga posta mpya tano Kenya zinajengwa kumi Uganda na kumi na tano Tanzania. Bora hivyo ilivosambaratika.Ndio maana huwa nashauri sku zote huu muungano wa sasa wa EAC ubaki tu kwenye kushirikiana kibiashara lakini tusizidi zaidi ya hapo, maana tukiungana kabisa halafu Wakenya tuendelee kujituma wakati wenzetu wanaendeleza usingizi wao, ikitokea vurugu za kusababisha uvunjwaji wa muungano, tutapoteza sana.
Leo hii Tanganyika na Zanzibar huwa hata hawaelewani kwenye kamuungano kao ambapo kalijengwa kiusanii, hakuna Mtanzania anayeweza kukueleza huo muungano wao huwa ni nini haswa, maana sio federation wala confederation wala sio union... Yaani wapo wapo tu, tusijaribu kuingia kwenye huo mtego.
Kidogo utaskia huyo rais wako akisema
Kumbe Kenya pamoja na kujidai kootena akili zao walidhulumu vichwa vya wabongo.
Bure kabisa!
Mbn hazijai miaSource ni rais wako. 'Common knowlegde' ni kwamba Tz haikuwa na umiliki wa hata asilimia kumi ya E.A.Airways. Zanzibar; 0.7%, Tanganyika; 9%, Uganda; 22.6%, Kenya; 67.7%. Kati ya wafanyikazi 5,000 wa E.A.Airways 3,000 walikuwa wakenya. Makao makuu ya E.A.Airways, uwanja wa ndege wa Eastleigh, Nairobi na baadaye Embakasi na Wilson Airport. Uwe unajiongeza kwa kufanya utafiti kwanza kabla ya kuteletea umbea kutoka kwa rais wako.
0.7%(Znz)+9%(Tanganyika)+22.6%(Ug)+67.7%(Kenya) inakuwa ngapi? Aisee, shuleni ulienda kuvunja madirisha nini?Mbn hazijai mia
Leo kamzawadia mwizi wa ndege!!Hivi unajua Kenya ilikuwa inamiliki asilimia ngapi ya E.A Airways? Kamuulize rais wako.
kdf miaka hyo walikuwa hawana ata silaha moja yenye uwezo wa kurinda anga laosasa kwa nini hatukuwapeleka au hatuwapeleki mahakamani mbona watanzania tumekuwa kichwa cha mwendawazimu kiasi hiki.
Nasikia hako kandege kamoja tulikokapata kipindi EAC inavunjika kalitokana na rubani wa kitanzania mzalendo aliyejitoa kuirusha ndege kuja Tanzania bila ruhusa ya mamlaka za kenya na kidogo Kdf wamtungue
Kama kawaida yenu wakenya, hamna mnachojua zaidi ya kupiga domo tupu, kila nchi ilichangia sawa katika kuundwa kwa EAC mwaka 1967, ila Kenya ilichafuliwa kuwa maka makuu ya East Africa Airways, Tanzania kuwa HQ hapo Arusha, na Uganda kuwa makao makuu ya posta na simu.Aaa wapi! East Africa Airways ilipobuniwa, na hadi iliposambaratika umiliki ulikuwa ni ule ule. Kenya ilimiliki kwa kiasi kikubwa zaidi, 67.7% huku jamaa wa blah blah nyingi Tanganyika na Zanzibar wakimiliki 9% na 0.7% mtawalia. Uganda 22.6%.
Lete ushahidi kama Kenya ililipia. Kuhusu aina ya ndege kuwepo, tumia akili kidogo unapochangia, sasa ulitegemea ziendelee kuwepo hadi Leo ili iweje?, zilifanya kazi zikazalisha faida ambayo ndiyo iliyotumika kununua hizi za sasa, ukipewa mtaji wa $1M ukafanyia biashara ukapa $70, isingekuwa ile $1M ungewezaje kupata $70M?Tatizo kubwa la Watanzania walio wengi ni uvivu wa kufikiri na kufanya utafiti japo kidogo ili kujiridhisha na facts kabla ya kusema au kuandika jambo. Japo ni kweli ilipovunjika EAC ndege nyingi zilikuwa Kenya LAKINI KWENYE MGAO WA MALI NA MADENI ULIOFANYIKA BAADAE KENYA ILILIPIA.
Pili ndege zilizokuwa enzi hizo ni VC na DC. Je zipo leo?
Mwacheni jiwe azidi kujidhalilisha.
naona na wEwe umeaminishwa kila nyumbu ana vuka MTO, kila nyumbu ana patikana katika maeneo yenye mito...Ndio tatizo la watu kuishi kama nyumbu, hakuna kutumia akili ni kuendeshwa endeshwa na kuaminishwa chochote, yaani ukitazama nyumbu wanapovuka mto, akiruka wa kwanza wengine wanafuata hata kama wanaliwa na mamba. Yaani huwaga hamjiongezi wala kufanya utafiti, ukiambiwa na kuaminishwa unakurupuka.
Jiulize kama ndege zilikua za EAC, mbona Uganda aliufyata hadi leo hajawahi kuongea, na mbona Nyerere pia aliufyata na kuishia kuhimiza chuki dhidi ya Wakenya kimya kimya lakini mambo ya ndege hakua anayazungumzia. Leo hii ndege zimekua zinaaruka huko, mbona huwa hamzichukui kama kweli zenu....Fanyeni utafiti EAA ilikua na deni kiasi ngapi cha National bank of Kenya.....
Hahahaha, EAC iliundwa 1967, wakati Tanganyika na Zanzibar ziliungana 1964 na kuzaluwa Tanzania, vipi unasema EAC iliundwa na nchi NNE, hizi bhangi umevuta SAA ngapi Leo?Nchi nne, hapo awali shirika la E.A.A lilipokuwa linabuniwa Tanganyika na Zanzibar hazikuwa chini ya muungano mmoja. Sasa mlitegemea Kenya ipate hasara au, na huo umiliki wenu wa 9% tu, huku Kenya ikimiliki 67.7%, na pia deni kubwa ambalo Kenya ilikuwa inalidai shirika hilo? E.A.C tangu zamani ilikuwa ni njia ya kuinyonya Kenya. Yaani tutie bidii, kihali na kimali, alafu wavivu waje wavune eti.
Hahahahaha, mnaitamani Tanzania******** anawatawala kama kondoo. Sasa chuki dhidi ya wakenya imezidi. Metaphorically, you are kondoo.
So foolish.