rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
naona na wEwe umeaminishwa kila nyumbu ana vuka MTO, kila nyumbu ana patikana katika maeneo yenye mito...
Hata biashara hatutaki kufanya na ninyi, sisi ndugu zetu wa damu ni SADC countries, tulisaidiana wakati wa matatizo, ninyi hamkuwepo.Kweli kabisa. Kwenye muungano huo zaidi ya kibiashara wakenya hatuna la kufaidi. Itakuwa ni kuliwa tu, hata huo muungano wa E.A.C wa awali ulikuwa unaendelezwa kwa mgongo wa Kenya. Enzi hizo kwenye E.A Postal Services walikuwa wanaibuka na ratio za ajabu, eti wakijenga posta mpya tano Kenya zinajengwa kumi Uganda na kumi na tano Tanzania. Bora hivyo ilivosambaratika.
kama picha tu INA weza kukufanya kumfahamu MTU basi utakuwa una matatizo, asilimia mia...Avatar yako ni tosha kujua wewe ni mtu wa aina gani na uwezo wako wa kujadili mada kama hizi umefikia kiasi gani...
N.B: E.A.A.= East African Airways. E.A.C. nayo ndio East African Community. Very simple. Soma tena taarifa ya mada na comment zote kisha ukishafahamu kinachojadiliwa humu urejee upya. Shukran.Hahahaha, EAC iliundwa 1967, wakati Tanganyika na Zanzibar ziliungana 1964 na kuzaluwa Tanzania, vipi unasema EAC iliundwa na nchi NNE, hizi bhangi umevuta SAA ngapi Leo?
Huwa ninakuwa na mashaka sana na ufahamu wa wakenya wengi humu JF. Tofautisha na EAC iliyoundwa na hizi nchi zikuwa huru 1967, ambapo ndio haya mashirika yaliundwa upya, yaani east Africa Airways ya EAC, na ile East Africa ya mkoloni ambayo wewe ndio unayozungumzia. Ile ilikua ni chini ya muengereza, Tanganyika tulipopata Uhuru 1961, hatukuwa sehemu ya East Africa airways hiyo unayozungumzia wewe, hivyo hivyo Uganda ilipopata Uhuru ilitoka, hatimae Kenya ilipopata Uhuru 1963 ikabaki na ndege zote zilizokua chini ya East Africa airways ya mkoloni kwasababu ilikua nchi ya mwisho kupata Uhuru.N.B: E.A.A.= East African Airways. E.A.C. nayo ndio East African Community. Very simple. Soma tena taarifa ya mada na comment zote kisha ukishafahamu kinachojadiliwa humu urejee upya. Shukran.
Umiliki wa hisa za East Africa Airways ilikuwa hivi; Zanzibar: 0.7%, Tanganyika: 9%, Uganda: 22.6% na Kenya: 67.7%! E.A.Airways pia ilikuwa inadaiwa na Kenya $485.4 Million.
Ehee! Hadithi njoo .....ungemalizia na kusema walahi ingependeza zaidi.Huwa ninakuwa na mashaka sana na ufahamu wa wakenya wengi humu JF. Tofautisha na EAC iliyoundwa na hizi nchi zikuwa huru 1967, ambapo ndio haya mashirika yaliundwa upya, yaani east Africa Airways ya EAC, na ile East Africa ya mkoloni ambayo wewe ndio unayozungumzia. Ile ilikua ni chini ya muengereza, Tanganyika tulipopata Uhuru 1961, hatukuwa sehemu ya East Africa airways hiyo unayozungumzia wewe, hivyo hivyo Uganda ilipopata Uhuru ilitoka, hatimae Kenya ilipopata Uhuru 1963 ikabaki na ndege zote zilizokua chini ya East Africa airways ya mkoloni kwasababu ilikua nchi ya mwisho kupata Uhuru.
Mwaka 1967 wakati nchi zote zimepata Uhuru zikaamua kuungana na kuanzisha mashirika upya kabisa, ndipo East Africa airways ikaanzisha upya na kila nchi kuchangia sawa, na ndege zilinunuliwa upya na kama nchi ilikua na ndege zake zilinunuluwa na EAC hii mpya.
Aisee
HahahhhHiyo source uliyoleta mbona haiendani na ulichoandika humu, endelea kutafuta Google natumai utafanikiwa na kupata jibu kwanini Nyerere pamoja na alivyokua anapenda kuwa na ubabe wa kuhusisha Tanzania kwenye vita Afrika, mbona hili la ndege aliufyata na hakusema hata ng'wee wala kujifanya kama anajikuna, kasomeni historia ipasavyo, mlidanganywa sana na mtaendelea kudanganywa hadi siku mtatia akili.
Leo kamzawadia mwizi wa ndege!!
Pedestrian reasoning, denying facts to withhold a subjective thinking to sooth blind patriotism., watanzania ni lini mtafungua macho?, mnachosha!Kama kawaida yenu wakenya, hamna mnachojua zaidi ya kupiga domo tupu, kila nchi ilichangia sawa katika kuundwa kwa EAC mwaka 1967, ila Kenya ilichafuliwa kuwa maka makuu ya East Africa Airways, Tanzania kuwa HQ hapo Arusha, na Uganda kuwa makao makuu ya posta na simu.
Baada ya kuvunjika kwa EAC, Tanzania tulibaki na Mali nyingi zaidi zisizohamishika, majengo yote pale Arusha tuliyachukua, hapakua na sababu yoyote ile ya kugombea ndege nyingi zilizokua Kenya ambako ndio kulikua HQ ya East Africa Airways, sio kwasababu Kenya ilikua imechangia zaidi katika ndege, je unataka kutuaminisha kwamba Tanzania ilichangia zaidi katika ujenzi wa HQ pale Arusha ndio sababu ikabaki na majengo yote?.
Kwanini inataka Zanzibar wakati hapakua na Zanzibar mwaka 1967 EAC ilipoundwa, na kamwe Zanzibar haijawahi kuwa na ndege zake?, nchi zilizounda EAC mwaka 1967 ni tatu tu, Kenya Uganda na Tanzania, hii ZANZIBAR umeitoa wapi?.
Ukiwa unachangia JF, lazima uwe umejiandaa, hapa sio Kenya talk.Ehee! Hadithi njoo .....ungemalizia na kusema walahi ingependeza zaidi.
Pedestrian reasoning, denying facts to withhold a subjective thinking to sooth blind patriotism., watanzania ni lini mtafungua macho?, mnachosha!
Kweli kabisa, ndio maana nimejiandaa sawa sawa kupuuzilia mbali pumba zako na kukuelimisha. East African Airways sio East African Community, naona umeelewa hilo na sasa unafahamu kinachojadiliwa hapa. Tunangoja ushahidi wa porojo zako kwamba baada ya 1967 E.A.C. ilinunua upya ndege zote za E.A. Airways na kwamba umiliki wa E.A.A. ulibadilika na muungano mpya wa Tz ukamiliki zaidi ya hiyo 9%(Tanganyika) na 0.7%(Znz.).Ukiwa unachangia JF, lazima uwe umejiandaa, hapa sio Kenya talk.
Uwanja mkuu uliotumika na ndege zote za E.A.Airways ulikuwa pale Eastleigh, Nairobi na baadaye Embakasi na Wilson Airport, Nairobi. Hiyo HQ Arusha sijui ilikuwa ya kufanya nini kwasababu kati ya wafanyikazi 5,000 wa E.A.A. 3,000 walikuwa wakenya. Hizi zinaitwa FACTS.Wakenya wengi huwa hamna akili, watu wenye akili kama David Ndii mnawadharau, sasa ukusema Kenya ilibaki na ndege nyingi kwasababu ilichangia zaidi katika kuanzishwa kwa East Africa airways, kwanini usikubali kwamba Tanzania ilichangia zaidi katika kujenga majengo Ya East Africa HQ pale Arusha ndio sababu ilibaki na Yale majengo yote?, acheni kufikiria kwa kutumia makamasi badala ya ubongo.
Kweli kabisa, ndio maana nimejiandaa sawa sawa kupuuzilia mbali pumba zako na kukuelimisha. East African Airways sio East African Community, naona umeelewa hilo na sasa unafahamu kinachojadiliwa hapa. Tunangoja ushahidi wa porojo zako kwamba baada ya 1967 E.A.C. ilinunua upya ndege zote za E.A. Airways na kwamba umiliki wa E.A.A. ulibadilika na muungano mpya wa Tz ukamiliki zaidi ya hiyo 9%(Tanganyika) na 0.7%(Znz.).
Hata huko SADC nyie ndio MNA masikini wengi yani nyie ni kama kisiwa cha umasikini hapa Afrika bila kusahau dumping ground ya vifaa vya SADC....mumekuwa kama mal##a ambaye anat##bwa bila malipo. Sorry to say so.Hata biashara hatutaki kufanya na ninyi, sisi ndugu zetu wa damu ni SADC countries, tulisaidiana wakati wa matatizo, ninyi hamkuwepo.
Unaishia kusema fanyeni utafiti si ajabu hata wewe huña data ungeweka utafiti ulioufanya ungesomeka sio unaishia kuongea ongeaNdio tatizo la watu kuishi kama nyumbu, hakuna kutumia akili ni kuendeshwa endeshwa na kuaminishwa chochote, yaani ukitazama nyumbu wanapovuka mto, akiruka wa kwanza wengine wanafuata hata kama wanaliwa na mamba. Yaani huwaga hamjiongezi wala kufanya utafiti, ukiambiwa na kuaminishwa unakurupuka.
Jiulize kama ndege zilikua za EAC, mbona Uganda aliufyata hadi leo hajawahi kuongea, na mbona Nyerere pia aliufyata na kuishia kuhimiza chuki dhidi ya Wakenya kimya kimya lakini mambo ya ndege hakua anayazungumzia. Leo hii ndege zimekua zinaaruka huko, mbona huwa hamzichukui kama kweli zenu....Fanyeni utafiti EAA ilikua na deni kiasi ngapi cha National bank of Kenya.....