Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Wezi sana, waliiba ndege kibaoNimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari