Kumbe Khalfan Bwire na wenzake ndio walikuwa Walinzi wa Tundu Lissu wakati anaingia Tanzania Julai 28, 2020?

Zinaweza kushindwa kuendana na mazingira sio kushindwa unakofikiria wewe. Coz hawawez kufanya hadharan itawabid kwa kificho na ndio hapo unakutana na komandoo.
Kwamba hawawezi kufanya hadharani?

Lissu alipigwa risasi usiku vichochoroni?

Hata wakipiga risasi mchana wa saa 7 hadharani wewe utafanyaje?
 
Kwa kosa gani? X soldiers ndio wamejaa kwenye makampuni binafai ya ulinzi na hata ya kukodi huko ulimwenguni. Licha ya hapo hapa tanzania tu sio kosa. Na watu wengi wanafanya hivyo. Tunashangaa kwa nini kwa Mbowe tu??
Kweli mkuu fitina, IPO kampuni ya ulinzi Nguvu moja wakuu wake Ni waastaafu wa vitengo nyeti inalinda migodi ya Barrick nk, kipaumbele ajira vijana toka JKT.
 
Shangaaa na wewe makomandoo wenyewe walikamatwa tena na Polisi tu. Alaf hapo hapo kwamba walishindwa kumfikia lisu sababu analindwa na makomandoo wakati makomandoo wenyew walishikwa kama kuku. Ushabiki unaondoa uwezo wa kufikiri
 
Kwamba hawawezi kufanya hadharani?

Lissu alipigwa risasi usiku vichochoroni?

Hata wakipiga risasi mchana wa saa 7 hadharani wewe utafanyaje?
Unajua kwa nini walishindwa? walitaka kumpiga hadharani ili wasionekane. Ndio sababu ya kukurukakara zile za kushindwa
 
Shangaaa na wewe makomandoo wenyewe walikamatwa tena na Polisi tu. Alaf hapo hapo kwamba walishindwa kumfikia lisu sababu analindwa na makomandoo wakati makomandoo wenyew walishikwa kama kuku. Ushabiki unaondoa uwezo wa kufikiri
Unajua raia yeyote hatakiwi kuresist arrest?Ulitaka wapigane na Polisi wakati wa ukamataji wao?Tumieni akili,hao ni raia wema na ndio maana wakaheshimu amri ya Polisi ya kuwaweka chini ya ulinzi!
Kama wangeanzisha vurugu na mapigano,hapo mngekuja kusema mengine!Mngethibitisha hao ni wahalifu ndio maana wakapambana na Polisi!
 
Unfortunately huko hamna moto zaidi ya mwili kurudia mavumbi!! And it can be proven ..kama wangekuwa wanachomwa basi watu wasingekuwa wanakuta mifupa after thousands of years. Moto Gani huo unashindwa mifupa??..mnaaminishwa nonsense na nyie mnaamini. Soma uongeze maarifa. There's no such thing as moto huko kaburini. Na wala hakuna transition. Kwamba Kuna sehemu huwa wanaenda. Hata Yesu alikufa mpaka alipofufuka. He didn't go anywhere.
 
Mkuu wangu,
Tulikuwaelemisha sana juu ya hili Lakini ukaendelea kubisha. Sasa leo kika kitu kimewekwa wazi. Sijui bado utaendelea kubisha?
Soma ushahidi wa leo

Shahidi: Baada ya Kufika Dar es Salaam na Kumfikisha Mheshimiwa Nyumbani Mikocheni Mimi na Mohamed tulipewa TSh 200,000 kwa ajili ya Kujiandaa Kwa Mavazi, Kwani Kesho Yake Tundu Lissu ndiyo alikuwa anakuja na Kumpokea Uwanja wa Ndege, Baada ya Kumpokea Tundu Lissu tulibakia Dar es Salaam Mpaka Tarehe 31 July 2020
 
Kwa uhakika gani? Mbowe alituma laki tano ya nauli tarehe 20 July. Baada ya hapo wakaenda Moshi kumfuata Mbowe,
Most likely Mbowe akaja nao Dar kumpokea Lissu tarehe 27 July.

Hivi wengine mnasoma case ipi?
Hakuna kesi hapo
 
Makomandoo hao hao waliokamatwa na kina Mahita au kuna wengine?
 
Iyo nchi ni Korea ya kaskazini
 
Lazima wafungwe au wapigwe slow poison, wamedhihirisha wao ni hatari kwa usalama
SUBHANALLAH.....Inna lillah wainah illahi rajiun,Sikujui ila nakutahadharisha sana wewe usije ukafikia hali iyo kuja kumuua mwaandamu mwenzako,Sie wanaadamu hatuna haki ya kumuua wala kumtesa kiumbe yeyote yule,madaraka ama cheo chako kisije kikakutia kiburi....Kwa imani yangu tu inaniambia mdudu sisimizi tu sitakiwi kumuua wala kumtesa sembuse mwanaadamu,Kumbuka kuna aliyetuumba atatuhukumu kutokana na makosa tuliyoyatenda,Kumbuka kila kiumbe hapa duniani kinamtegemea yeye,wewe kwa macho yako unawaona hao makomandoo hawafai kuishi ila ndio Muumba ameshawaumba,wewe ama wao siku yao ikifika kila mtu atakufa kwa ahadi yake Muumba na sio wewe,umekufuru sana kijana mwenzangu,fanya toba neno ulilolitamka ni baya sana mbele ya MUUMBA
 
Wacha wajinga waliwazane, huku mwenzao akitetea roho yake Muhimbili wao hawana habari.
 
Una upungufu wa kufikiri. Kwani zile risasi alizopigwa zilikuwa ndani ya siasa?
 
Haluna hata picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…