njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Mmmmmm! Au wewe ndiyo CHAWA anaeongelewaaa?Huyu kazumari ni mwandishi wa majungu kasha ona habari yake ni ya uongo anatafta kichaka
Asalalaleeee nilijua Sope bin takadin ndoa yake na yanga imefikia patamu kama pwagu na pwaguzi pale walipoyabeba matusi yake kwa karia kuwa ya taasisi lakini sikujua kama ana mamlaka makubwa kiasi hicho huko utopoloni ya kuamua nani asajiliwe na nani asisajiliwe, aiseee asante Barbara kutuondolea hili dubwasha
Haya sasa bin kazumari the voice of voiceless kasema sema suuuuuuuu atoe hizo voice notes.
View attachment 2319879View attachment 2319880pwagu na pwaguzi wake
kila mtu analijua lile dubwasha linavyolipukaga ..kaambiwa abishe ili hizo voice notes zitolewe...hivi kumbe sope anaamua issue sensitive kama za usajili huko utopoloni? aisee penzi ni kitovu cha uzembe, asalaleeeee,sikuwahi kuwaza kwa kweliHuyu kazumari ni mwandishi wa majungu kasha ona habari yake ni ya uongo anatafta kichaka
hata point kuwa jamaa linaamua kwamba mchezaji asajiliwe au asisajiliwe wao hawaoni, utasikia kazumari hivi kazumari vile...sope takadini kaambiwa aseme suuu, voice notes ziachiweMmmmmm! Au wewe ndiyo CHAWA anaeongelewaaa?
yeye si huwa jeuri? aseme suu voice notes ziachiwe ukweli uwe hadharani jinsi anavyoamua yupi asajiliwe yupi aachwe, hahahaha sope bin takadini in ze utopolo houseeeebinkazumari anampelekea moto nguruwe pori[emoji375][emoji375]
Kambishie akupe voice note. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kazumari ni mwandishi wa majungu kasha ona habari yake ni ya uongo anatafta kichaka
Sawa ume andika yote hayo naku uliza unakubaliana kua Haji ana uwezo wa kuamua nani asajiriwe nani aachwe hapo Yanga?Kwenye hii issue sina uhakika wowote kwahiyo naiacha inipite kushoto tu, ila ningependa kuongelea issue ya nguvu ya Manara ndani ya Yanga
Ukiangalia Kwa makini na tukiacha huu unafki wa usimba na uyanga utagundua kuwa ni kweli Haji ana nguvu Fulani ndani ya Yanga
Tukianza kwa kutazama sababu ya kuondoka Antonio Nugazi na kuja Haji Manara, Kwa Akili ya kawaida tu sidhani kama kuna mwana Yanga ambae alifurahia kufukuzwa Kwa Nugazi na kuletwa Manara
Tukija kwenye issue ya Manara kufahamika kama Afisa muhamasishaji ila cha ajabu anakuwa na nguvu/mamlaka makubwa kuliko Afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli
Hadi hapa tulipofikia ni wazi kuwa Hassan Bumbuli sio Afisa habari tena, kwahiyo hajulikani ana cheo gani tena pale Yanga ila sio ajabu kama atakuwa kashatemwa jumla ili kutengeneza mazingira ya nafasi yake kupewa Manara moja Kwa moja
Ukiangalia issue ya Manara kwenda kwenye tamasha la siku ya wanachi ni wazi kuwa Hilo wazo haliwezi kuwa la Raisi wa club bwana Hersi, bali lazima litakuwa ni wazo la Haji na Raisi akawa hana budi kukataa, Manara ni mtu ambae anapenda sana tabia ya kutunishiana misuri hivo alikuwa anaijaribu TFF kwa pride yake mwenyewe na sio Yanga
Issue ya Yanga kutangaza official kuwa wameingiza mapato mengi kwenye siku ya wanachi kuliko Simba day, hili limekuja baada ya kuona Simba imejaza uwanja sasa ili kuondoa hilo Haji akatafuta justification
Haji majuzi kupitia account yake ya Instagram ndio alienzisha vita ya Nani kaingiza mapato mengi ila cha ajabu haikuishia hapo club nayo ikaamua kulitangaza official
Hivi vilabu havijaanza leo kufanya haya matamasha ila kulikuwa hakuna ushamba wa kutambiana nani kaingiza hela nyingi kuliko mwingine, imeanzia kwenye tabia ya kutokubali kushindwa Kwa Manara na sasa kila kitu kimekuwa ni kama vita vile
Kwahiyo ukiangalia baadhi ya Mambo vile yanaenda pale Yanga utagundua kuwa ni kweli Haji ana nguvu flani au kuna nguvu ya mtu mkubwa nyuma yake, ambae obviously atakuwa ni Raisi wa club
Kutokana na hizo Mambo, Kuna kamba nyembamba sana inatenganisha ukweli na uongo wa ule uvumi kuwa Raisi na Muhamasishaji kuna kitu kinaendelea Kati yao
Anyway, kupanga ni kuchangua
anasubiriwa sope aseme suuAweke voice notes hewan, si tujifaidie kusikiliza hizo povu zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] team imechukuliwa Mzungu poli wa Magomeni.
Byuti byuti
makampuni ya dawa za meno yampe matangazo ya biashara, domo halijui mswaki lileManara kwenye soka la bongo ni content
Sina mda wa kuhangaika na mwanaume anae fatilia wanaume wenzake kutwa nzimaKambishie akupe voice note. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ameambiwa aseme suu voice notes ziachiweSawa ume andika yote hayo naku uliza unakubaliana kua Haji ana uwezo wa kuamua nani asajiriwe nani aachwe hapo Yanga?