Kumbe kule Yanga ana mamlaka makubwa hivi? Anaamua nani asajiliwe au asisajiliwe

Kumbe kule Yanga ana mamlaka makubwa hivi? Anaamua nani asajiliwe au asisajiliwe

Katika vitu ambavyo vimenikalia kushoto ni Tetesi kwa wachezaji.

Kwahivyo hapa kinachoendelea ni kusubiri abishe Haji ili Jemedari apasue Mbarika.

Wacha Tuone.
 
Hadi sasa hajasema suu , si huwa anapenda ubishani ? aseme suu ili wana yanga wasikie boss mpya anaye decide nani awepo nani asiwepo, pwagu na pwaguzi
 
Back
Top Bottom