Kumbe kule Yanga ana mamlaka makubwa hivi? Anaamua nani asajiliwe au asisajiliwe

Manara na Yanga ndio habari ya town kwa sasa au vp maana nyuzi zao zimezidi
dubwasha lile habari ya mjini siku nyingi sana matendo yake kama li mnyama la porini halifananii na ubinadamu hata kidogo, linashangza sana na halitaacha kushangaza
 
Kweli manara si kuku wa kizungu
 
Jamderi anajisunbua sna kumjadili manarq mda wote simpendi amewezaje mtu huyu kuwa mchambuzi wa radio

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
unajua kusoma lakini? nani alimtumia mwenzake hizo voice notes? ina maana hata hustuki kusikia kwamba huyo jamaa ana power ya kuamua nani asajiliwe au asisajiliwe yanga? inatia moyo kwamba kuna wana yanga wachache wenye akili hili suala ninawaboa sana ,narudia tena ni wachache mnooo
 
Na nnavyofahamu mmakonde yule...LAZIMA VOICE NOTE AIWEKE HEWANI TU NARUDIA LAZIMA NI SUALA LA MUDA TU
 
Sawa ume andika yote hayo naku uliza unakubaliana kua Haji ana uwezo wa kuamua nani asajiriwe nani aachwe hapo Yanga?
Mbona majibu yapo hapo mkuu, nimesema sina uhakika na hiyo issue me nikajikita kwenye kuongelea issues zingine
 
Na nnavyofahamu mmakonde yule...LAZIMA VOICE NOTE AIWEKE HEWANI TU NARUDIA LAZIMA NI SUALA LA MUDA TU
Tunazisubiri kwa hamu sana saaana tu, sope aseme suuu na inashangaza masaa yashapita kanywea kimya
 
Heshima uliyojijengea inaporomoka kwa upuuzi wa Kazumari.
 
Uzuri wa Kazumari anakugonga nyundo ya utosi huku anakuongelesha kwa sauti yake ya upoleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…