Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile


Naam, na ushahidi ninao.

Kuna kampuni ya wachina huku dogo mmoja alienda kuomba kazi getini kama wengine.

Utendaji wake wa kazi ukamfanya aaminiwe na mchina kwa kupewa uongozi.

Then akapanda zaidi kwa sasa ni kiongozi wa viongozi na kanunuliwa mpaka usafiri na anaaminika kupita hata HR

Anatumika pia kama mshauri wa mwenye kampuni na mshahara wake so wa kinyonge.
 
Safari Bado tata hii. Tuendako mbali
Sana ndio maana mpaka sasa nimefika hatua ya kukubali tu kwamba tunahitaji mabadiliko kabisa ili waingie wengine nao waongoze usukani maana huyu dereva tuliye nae Kwa sasa amechoka nae tumpumzishe akae pembeni aiwezi tangu uhuru mpaka sasa ni yeye tu na matatizo ni Yale Yale.
 
Mnawaza kimaskini sana ,Tanzania hasa kwa wazawa hamna mishahara ,kuna posho tu ,hivi vi mishahara vya milioni 3 ndio nini kwa Maisha haya ya sasa yenye. Mfumuko wa bei nchini humu ?
 


Sioni mshahara wa maana hapo labda mshahara wakati mtu anaanza kazi. Kwa vijana ni sawa.
 
Hapo haujaweka organised extortion iliyopo chini ya mwamvuli wa paye ,bima ya afya , students loans board repayment, NHIF , TUICO nk , hapo bado haijaweka mikopo , at the end of the day hicho kimshahara cha milioni tatu kinakata na mtu anabaki kwenye madeni tu na maisha magumu ,na ndio maana wafanyakazi wengi wa Tanzania ni wezi
 
Kuna taasisi nazifahamu wanapiga hadi 4M kulingana na miaka uliyokaa nao
Ukiwa unajua kijerumani na umeshawahi kuajiriwa ujerumani uki-apply kazi GIZ unapata nje nje na mshahara wa kuanzia unakunja 3500EUR kwa mwezi. Watu wengi walio huku wakiamua kurudi nyumbani wanawasiliana nao na kujua kama wanauhitaji wa post na kuangalia wakazanie skills gani. Muhimu Lugha
 
Wenye degree tunakula laki ineee wewe hao wa 3million umewatolea wap
intagema uko fani gani, kama ni degree ya penguine mishahara ndyo hiyo, unapata sawa na diploma ya nursing, diploma ya lab tech n.k
 
umekariri, serikali si LGA pekee, kuna taasisi za serikali salary ni zaidi ya hizo ulizo kariri, PCCB, TPHA, TTCL,TFDA, TRA, TMA, TBS etc
 
Hizo rate ulizoorodhesha ni ndogo sana .... kuna ,tume ya madini 7.7 ,TPDC 12.5 , Ecop 8.4 nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…