Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

Bado ujanijibu .
Achana na story za vijiweni
 
Your genius mkuu..
Japo hapo kwenye mradi wa kiwanja chalinze bado sijakupata mkuu naomba unipe info kidogo
 
Mimi nilikataa mshahara wa 4m taifa gas nimeajiriwa gvt kwa basic ya 2.3 lakini niaweza make than 4m per moth
Mkuu ninakukumbuka vzr kabla ya kupata kazi ulivyolala stendi pale Dodoma, unazungumzia 2.3 ipi? Au unachangamsha wadau.....

Sio Ivo tu diploma ya it toka lini mtu akalipwa ela hiyo sio private wala serikali.....
 
Pole mkuu umechelewa Sana kulijua hili 😁

min -me tia neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…