Iyo tcc ni mshahara wa mwenye degree alie Toka kuajiriwa (fresher)Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Mwaka mzima unapata ml 8 mwenzio mwezi ana pata 2.5 maana yake yeye miezi 4 ndo mwaka kwako amuwez kuwa sawaIzo million una zitumikia haswaa unataka na note board pale kwa tema leader ina target zko usipotimiza ni kwereee
Wakati wa mwenzako wa serikalini ana weza potea mwaka mzma na mwisho wa mwezi yupo bank anapokea
Kuleni MASHAURIKwa hiyo sisi wa halmashauri unatushauri nini?
Mbona hizo level za mshara ndyo zipo kwenye utumishi wa umma pia?Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Haha hii ni jamii forumMkuu ninakukumbuka vzr kabla ya kupata kazi ulivyolala stendi pale Dodoma, unazungumzia 2.3 ipi? Au unachangamsha wadau.....
Sio Ivo tu diploma ya it toka lini mtu akalipwa ela hiyo sio private wala serikali.....
Private 4m wanaweza kulipwaMkuu ninakukumbuka vzr kabla ya kupata kazi ulivyolala stendi pale Dodoma, unazungumzia 2.3 ipi? Au unachangamsha wadau.....
Sio Ivo tu diploma ya it toka lini mtu akalipwa ela hiyo sio private wala serikali.....
Hiz ni dolar au Tzs? mbona sawa na misharq yetu hapa hapa halmashauri ya mji MasasiWakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Jamaa yangu anasajili laini na ana degree ya sheria.Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Tuendelee kuishi nasi Soon tunalamba asaliHaha hii ni jamii forum
Afya hakuna salary ya 2m, medicin graduate ni 1.5m
mbona graduates wa idara ya afya hiyo range ya 2-3 m kwa LGA ni kawaida tu, walioko hospital za kanda na taifa scale zao ni zaidi ya hapo
Hiyo salary ya BARRICK uloweka hapo ni kidogo sana mkuu kwa level ya degree, itakua umefanya tafiti vibaya...hiyo inazidi hata mtu mwenye level 3 ya VETA.Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
kmmakee πNimefanya private kwa miaka kadhaa, nipo serikalini mwaka wa tatu hata unizidishie mshahara mara mbili sirudi private
K
jiuliza kwanini watu wanakuwa na notion kwamba kijiji hamna pesa mimo mbona nilikuwa napata pesa? Ukienda vijiji vya wasukuma au wamasai vina pesa sana labda uwe mwalimu ndio utakosa pesa aiseePesa ipo kijijini, mzunguko upo mjini chukua hii weka kwenye file utaitumia badae kwenye AI itakupa majibu
kwa hiyo ume-specify kwa starting salary, lakini baada ya muda mfupi anafika huko na kupita, na "terms" ni permanent and pensionable, any way kila mtu ana mtizamo wake, kwangu mimi 3-4 mil TZS contract employment, siwezi acha civil serviceAfya hakuna salary ya 2m, medicin graduate ni 1.5m
Hakuna graduate wa lga anaanza na 3/2m,
Ukitaka kulipwa hizo salary zipo TIRA, GAMING BOARD,TCRA,TCAA,LATRA ndio kuna salaries na allowances nyingi
Mkuu upo UDOM cive hapo?Mkuu kama ulikuwepo..
Kuna wana hapa cive mpaka sasa hawajapata wanahangaika na kule uongozi mkubwa...
ππππππ
Nilikuwa field exploration huyu bamboo drilling yupo vizuri drillers na offsiders wake hawajasoma lakini wanakula mshahara wa mwalimu.Coreworthy Drilling
Capital Drilling
Boart Longyear Drilling
Bamboo Drilling
Master Drilling
Na contractors wengine wa exploration na grade control migodini. Wanalipwa kwa standards za mzungu.