Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

kwa hiyo ume-specify kwa starting salary, lakini baada ya muda mfupi anafika huko na kupita, na "terms" ni permanent and pensionable, any way kila mtu ana mtizamo wake, kwangu mimi 3-4 mil TZS contract employment, siwezi acha civil service
Kwa hiyo maofisa wa tra, gaming board,latra,tcra,tcaa hawafiki huko unaposema?
Rate ya per diem ya maofisa wa hayo mashirika yanalingana na ya md?
Housing allowance, inalingana?
 
jumbo hata hapa bongo unajifunza, nimekuwa offsider sana wa jumbo kule bulyanhulu kabla ya kupewa jumbo huku niliko kuanzia ku mesh, scalling, longhole drilling, ni wepesi wako tuu wa kujifunza, NA KONEKSHENI
 

Naona anaongea tu kabla ya kufanya Tafiti.
Japo kua Afya kuna Visemina na Viposho vya hapa na Pale + Vitips tips na Madili ya kuwapiga wagonjwa na Wafu
 
kwa hiyo ume-specify kwa starting salary, lakini baada ya muda mfupi anafika huko na kupita, na "terms" ni permanent and pensionable, any way kila mtu ana mtizamo wake, kwangu mimi 3-4 mil TZS contract employment, siwezi acha civil service

Raha ya Civil Service utakua na Time ya Kupush Mambo yako, Pia una access ya Mikopo kirahisi ili uweze kuscale Michongo yako
 
Naona anaongea tu kabla ya kufanya Tafiti.
Japo kua Afya kuna Visemina na Viposho vya hapa na Pale + Vitips tips na Madili ya kuwapiga wagonjwa na Wafu
Kwani kwenye hayo mashirika ya umma niliyoyataja hakuna seminar? Sitting allowance za maofisa wa hayo mashirika ni 250,000/- Kwa siku,na per diem ni 200,000, mashirika mengine ni 250,000/-
Kuhusu madili huko kwenye hayo mashirika yapo mbona.
 
Nyie tuacheni na private sector zetu. Nyie endeleeni kujiona mpo vizuri na serikali ya Samia.
 
Sio tu wenye degree.

Private sector hata kama uliingia una certificate

The way unavyozidi kufanya kazi kwa weledi na ukaaminika, ndivyo madaraja na mshahara vinapanda.
Private sector wanaangalia efficiency ya mtu ikoje, maana kule ni pure competition, kila company ina race kupata faida kubwa

They know only way ni ku deliver best service, na kufika huko they need best man

Is why talents nyingi zinakuwa absorbed private sector
 
Kuna mwalimu analipwa 1.2m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…