Wanakuwa wazito kwa vile baadhi ya viongozi wanautamani huo mkwanja.Sema CDM walipasw kuita press kama Zitto mapema kabla wabunge wasaliti hawajaenda na mtu akienda wamshughulikie....sijui kwa nini CDM wanakuwa wazito
Acha kudandia kuandika vitu usivyovijua. Unajaribu kuunganisha vitu visivyo na uhusiano. Stress zitakuumiza bure, mtu mwenyewe bado mtoto wa chuo.Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:
Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.
Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora
Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Tulia weweeAise watu manvituko kweli. Kwahiyo Kama hawajashinda mnataka iweje!
CCM leo wameamua kuwa watetezi wa Wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA?Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:
Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.
Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora
Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Sawa, Bosi nimekaa pembeniTulia wewee
Hizo trillion 2 watanyimwa ccm? Na je na je zisipotolewa wataadhilika ccm pekee
Bora ukae pembeni tu wakati sisi huku tunaosha vikongwe na kuingia hela ya hatarii. Nadhani hadi hapa umeshanifaham mimi ni nani? πSawa, Bosi nimekaa pembeni
Teh teh teh teh umekula bani mzee Baba. Naskia Trump kaibiwa kura huko mnasemaje wazee wa Box!Bora ukae pembeni tu wakati sisi huku tunaosha vikongwe na kuingia hela ya hatarii. Nadhani hadi hapa umeshanifaham mimi ni nani? π
Naona umekuwa muitikaji Budamapambio yasiokua na Waitikiaji ni kama kelele tu.
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:
Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.
Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora
Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Rudisha avatar picha yako wewee ya yule Nyani anatembea kwa madahaaTeh teh teh teh umekula bani mzee Baba. Naskia Trump kaibiwa kura huko mnasemaje wazee wa Box!
Kwa hatua tuliofikia sasahivi Tanzania hamna wa kuturudisha nyuma, mnapoteza tu muda wenu.. mkatae na rudhuku ili tuipangie kazi nyingineWho cares. Kama ni kweli hilo la hizi hela, tuko tayari kujaza petition ili zisije tudhalilike vizuri.
Teh tehππππ Kuna boya humu aliniambia akili zangu ni sawa na Avator yangu, nikaonana isiwe tabu. Wanazengo hawana dogo, ikabidi niitoe!Rudisha avatar picha yako wewee ya yule Nyani anatembea kwa madahaa
Huu ndiyo wakati mwafaka wa chadema kutoka hadharani na kukataa uzushi huu wa CCMSawa. Waacheni viongozi wetu msiwatishe au kuwahonga ili wateue wabunge viti maalum.
Si mna hela? Nini kinawahangaisha hadi mnataka kughushi saini za viongozi wetu ili tu muwateue kuhadaa ulimwengu kuwa wapinzani wamewakubali?
We jamaa usipopewa msaada wa kisaikolojia unaenda kuwehuka. Yetu machoAnaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:
Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.
Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora
Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Mkuu, hawa hawashindwi kujiundia upinzani wao!