Uchaguzi 2020 Kumbe kuna hatari ya kukosa Trilioni 2 kutoka kwa Wahisani kutokana na Kasoro za Uchaguzi(?)

Sema CDM walipasw kuita press kama Zitto mapema kabla wabunge wasaliti hawajaenda na mtu akienda wamshughulikie....sijui kwa nini CDM wanakuwa wazito
Wanakuwa wazito kwa vile baadhi ya viongozi wanautamani huo mkwanja.
 
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:

Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.

Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora

Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Acha kudandia kuandika vitu usivyovijua. Unajaribu kuunganisha vitu visivyo na uhusiano. Stress zitakuumiza bure, mtu mwenyewe bado mtoto wa chuo.
 
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:

Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.

Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora

Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
CCM leo wameamua kuwa watetezi wa Wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA?
Kulikoni?
 
Hizo trillion 2 watanyimwa ccm? Na je na je zisipotolewa wataadhilika ccm pekee

Who cares. Kama ni kweli hilo la hizi hela, tuko tayari kujaza petition ili zisije tudhalilike vizuri.
 
Bora ukae pembeni tu wakati sisi huku tunaosha vikongwe na kuingia hela ya hatarii. Nadhani hadi hapa umeshanifaham mimi ni nani? 😆
Teh teh teh teh umekula bani mzee Baba. Naskia Trump kaibiwa kura huko mnasemaje wazee wa Box!
 
Mna miaka mingine mitano ya kuandika propaganda humu

Keyboard warriors
 
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:

Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.

Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora

Mengi yanakuja CCM jiandaeni.

Sasa hapo mnamkomoa Nani?
Katika teuzi za wabunge kumi wa Rais si anateua tu watu wa CUF na NCCR au CHAUMA?

Mambo mengine muwaze kwa akili
 
Who cares. Kama ni kweli hilo la hizi hela, tuko tayari kujaza petition ili zisije tudhalilike vizuri.
Kwa hatua tuliofikia sasahivi Tanzania hamna wa kuturudisha nyuma, mnapoteza tu muda wenu.. mkatae na rudhuku ili tuipangie kazi nyingine
 
Sawa. Waacheni viongozi wetu msiwatishe au kuwahonga ili wateue wabunge viti maalum.
Si mna hela? Nini kinawahangaisha hadi mnataka kughushi saini za viongozi wetu ili tu muwateue kuhadaa ulimwengu kuwa wapinzani wamewakubali?
Huu ndiyo wakati mwafaka wa chadema kutoka hadharani na kukataa uzushi huu wa CCM
Ili kila mtanzania ajue kuhusu huu UJINGA ni Bora paitishwe mikutano na waandishi wa habari kuweka sawa suala hilo
 
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa twitter:

Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.

Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora

Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
We jamaa usipopewa msaada wa kisaikolojia unaenda kuwehuka. Yetu macho
 
Nakumbuka Mbatia alishakua mbunge wa upinzani wa kuteuliwa na rais.
Kama hoja nikuongoza kamati hizo mbili Rais anaweza kuteua wabunge wanne kutoka vyama kadhaa vilivyokubali matokeo na hoja ya kamati kuongozwa na wapinzani ikawa imeisha rasmi na hizo hela zikaja pia kama hoja ni hiyo.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Tupo zaidi ya millioni 50 sote akili ziiidumaa kwa kukosa ufahamu wa dunia ilipo sasa.
 
Back
Top Bottom