Uchaguzi 2020 Kumbe kuna hatari ya kukosa Trilioni 2 kutoka kwa Wahisani kutokana na Kasoro za Uchaguzi(?)

sawaaa....wezi FC,wauaji Fc,Mautopolo Fc, na makosa ubongo FC
 
Unapata faida gani ukiutoa uhai wa mwenzako tena mwanachama mwenzio! ? Kumbe mnauana wenyewe kwa wenyewe mkimaliza kuuana mtasema ilikua njama za CCM.
Mwanachama mwenzetu gani wakati wanataka kuweka mapandikizi ya CCM? Tunawaonya wasijaribu huo ujinga!
 
Nonsense. Kwahiyo hiyo sheria inataka upinzani wawekwe hata kama hawajashinda?
 
Mimi nafurahi nchi inavyoendelea kubanwa kila kona na mabeberu serikali itakoposhindwa kutekeleza baadhi ya miradi ndio hata nzi wa kijani akili zinataanza kufunguka
 
Kama kanuni zinahitaji Mbunge yeyote tu wa upinzani pasi kujali kapatikanaje then mmeshazidiwa akili hata msipopeleka viti maalumu.

1.Rais ana wabunge 10 wa kuteua.

2.Hizo kamati zitakuwa chini ya Makamu wenyeviti tu kwa miaka yote.
 
Kwa hiyo hamuandamani tena? Mnatia aibu kwa kuliombea taifa mabaya
Taifa limekwishahatibiwa na kuongozwa na shetani. Haliwezi kuwa jema kwa kuteua wabunge wa upinzani pekee.

Shetani ni vema akatambua kuwa siku zote siyo rahisi kuvipata vyote. Unataka udikteta na wakati huo huo unataka matunda ya demokrasia!! Amekwishaamua kuwa dikteta, basi vema akafurahia matunda ya udikteta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani upinzani kwani lazima uwe CHADEMA. Tanzania ina vyama vingi sana lolote linawezekana hao CHADEMA imebaki historia tu
 
Unafikiri wanaotoa hela ni wendawazimu kama CCM? Fanyeni hivyo haraka, msichelewe, msubirie matokeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi CDM hamuna jipya yani kwa kuwa wenye chama akina Mbowe na wenzake wameanguka katika majimbo yao ndio mnataka ba wenzenu pia wakose acheni roho mbaya zenu

Katika uchaguzi serikali za mitaa mliwafanyia hivyo hivyo wagombea wenu mmefanya nini hadi leo
 
Rais ana viti 10. Anamteua Rungwe, Shibuda, Queen Sendiga, Mahona na Rashid Mohammed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…